Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kabisa mkuu, inaweza kusaidia kupunguza kero na kuboresha huduma kwa abiria, huku likichangia maendeleo ya maeneo hayo kwa ujumlaChanzo kizuri cha mapato kuliko kile cha kuwachaji watu mikojo yao
Na wale wahubiri wa mchongo piaKabisa mkuu, inaweza kusaidia kupunguza kero na kuboresha huduma kwa abiria, huku likichangia maendeleo ya maeneo hayo kwa ujumla
😀 😀 hawa acha wandelee kueneza injiliNa wale wahubiri wa mchongo pia
Mzee Mshana Jr Nafikri hawa watumishi waachwe tu Sina shida naoNa wale wahubiri wa mchongo pia
Kwanini mkuu?Tuacheni tafadhali...