Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu.

Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka tujitahadhari na mvua za elnino. Ni kweli limetokea, lakini walitubania kutueleza ukweli kuwa el nino hiyo itatokea jangwani kwa kasi ya 5G na kunyesha kwa kutisha mtaa wa Msimbazi.

El nino jana, imepelekea majeruhI kuwa ni wa wengi na tuwaombee salama.

Nashauri ng'ombe 5 zichinjwe huko jangwani na nyama ya sadaka ifike mpaka mtaa wa Msimbazi.

Tuwalaumu TMA, waliliona hili muda tu, wakabania-bania habari.
 
Ajuza wewe umeandika utumbo gani
 

Wapeleke Funguo wayafungulia maji ya Msimbazi maana wamelowa na mnara usije ukaanguka tukakosa 5G.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…