Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

Kwanza niipongeze sana idara inayoshulika na ukhsanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya bewa, kwa uchache kutwa mara tatu.

Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka tujitahadhari na mvua za el nino. Ni kweli limetokea, lakini walitubania kutueleza ukweli kuwa el nino hiyo itatokea jangwani kwa kasi ya 5G na kunyesha kwa kutisha mtaa wa Msimbazi.

El nino jana, imepelekea majeruhI kuwa ni wa wengi na tuwaombee salama.

Nashauri ng'ombe 5 zich8njwe huko jangwani na nyama ya sadaka ifike mpaka mtaa wa Msimbazi.

Tuwalaumu TMA, waliliona hili muda tu, wakabania bania habari.
💚💛💚💚💚💛💛
 
kwahiyo tukatambike. tuchinjie majini
 
Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya bewa, kwa uchache kutwa mara tatu.

Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka tujitahadhari na mvua za el nino. Ni kweli limetokea, lakini walitubania kutueleza ukweli kuwa el nino hiyo itatokea jangwani kwa kasi ya 5G na kunyesha kwa kutisha mtaa wa Msimbazi.

El nino jana, imepelekea majeruhI kuwa ni wa wengi na tuwaombee salama.

Nashauri ng'ombe 5 zich8njwe huko jangwani na nyama ya sadaka ifike mpaka mtaa wa Msimbazi.

Tuwalaumu TMA, waliliona hili muda tu, wakabania bania habari.
Uko shule ulienda kujifunza kulamba kamasi
hali ya bewa ndio nini?
Na umri huo hujui kuandika kuchinjwa?
 
bi arafa bana miyeyusho sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom