Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu.

Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka tujitahadhari na mvua za elnino. Ni kweli limetokea, lakini walitubania kutueleza ukweli kuwa el nino hiyo itatokea jangwani kwa kasi ya 5G na kunyesha kwa kutisha mtaa wa Msimbazi.

El nino jana, imepelekea majeruhI kuwa ni wa wengi na tuwaombee salama.

Nashauri ng'ombe 5 zichinjwe huko jangwani na nyama ya sadaka ifike mpaka mtaa wa Msimbazi.

Tuwalaumu TMA, waliliona hili muda tu, wakabania-bania habari.
[emoji1787][emoji1787]Walishaonywa ila msemaji wao akapinga katakata kuwa haiwezekani!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu.

Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka tujitahadhari na mvua za elnino. Ni kweli limetokea, lakini walitubania kutueleza ukweli kuwa el nino hiyo itatokea jangwani kwa kasi ya 5G na kunyesha kwa kutisha mtaa wa Msimbazi.

El nino jana, imepelekea majeruhI kuwa ni wa wengi na tuwaombee salama.

Nashauri ng'ombe 5 zichinjwe huko jangwani na nyama ya sadaka ifike mpaka mtaa wa Msimbazi.

Tuwalaumu TMA, waliliona hili muda tu, wakabania-bania habari.
Huuu utabiri umeeeeeeeenda vilivyo😂😂😂
 
sisi watu wa mpira tumekuelewa bibi. asante kwa uzi.
 
Angalau hapa tunaongea lugha moja... kumbe una akili sometimes
 
Kwa Mada hii nimekupenda sana Bibi.

Amakweli umetumia sanaa ya uandishi vizuri sana
 
Back
Top Bottom