Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

kwani wenye maduka au wauza nyanya, mbogamboga n.k kila siku wanapata faida kwenye biashara zao?...Ila mbona wanalipa?
Wewe ni Mjinga na mpumbafu sana

Hujui changamoto na hali ya maisha ya hao wafanya biashara wa karanga na vitumbua
 
Back
Top Bottom