M Mnasihi JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 8,385 Reaction score 7,929 Jul 17, 2026 #21 Ubaya Ubwela said: Mtu anapata faida ya 2000 alipe ushuru? na kuna kuna siku biashara inadolola Click to expand... Kila mtu alipe kodi bila kujali faida au mtaji wako. Mnataka nani abebe msalaba wenu wa huduma?
Ubaya Ubwela said: Mtu anapata faida ya 2000 alipe ushuru? na kuna kuna siku biashara inadolola Click to expand... Kila mtu alipe kodi bila kujali faida au mtaji wako. Mnataka nani abebe msalaba wenu wa huduma?
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,317 Reaction score 9,260 Jul 17, 2026 #22 Jamaa bila kujua wanajichimbia kaburi.
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,351 Reaction score 8,088 Jul 18, 2026 #23 ! ! Hii Ina Tofauti GANI Na Kodi Za Kikoloni Zile Babu Zetu Walihangaikaga Nazo
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 Jul 18, 2026 #24 Mkono Mmoja said: kwani wenye maduka au wauza nyanya, mbogamboga n.k kila siku wanapata faida kwenye biashara zao?...Ila mbona wanalipa? Click to expand... Wewe ni Mjinga na mpumbafu sana Hujui changamoto na hali ya maisha ya hao wafanya biashara wa karanga na vitumbua
Mkono Mmoja said: kwani wenye maduka au wauza nyanya, mbogamboga n.k kila siku wanapata faida kwenye biashara zao?...Ila mbona wanalipa? Click to expand... Wewe ni Mjinga na mpumbafu sana Hujui changamoto na hali ya maisha ya hao wafanya biashara wa karanga na vitumbua