Wanaotesa mpaka kuua, huwa wanavuta bangi kwanza au wanaua kavukavu bila kupata chochote cha kuwaondolea ubinadamu na eneo huwa ni sound proof?

Postmortem haitishi kama kushuhudia mtu akipoteza uhai, struggle ya kupoteza uhai hata kwa mgonjwa aliye mahututi huwa ni kubwa,.
Watekaji wanamchukua mtu timamu kabisa yupo fiti ki afya na kumsulibu na kuhakikisha wanashuhudia akikata roho.
Basi tunatofautiana mkuu,me niliwahi kushuhudia postmortem,nikaona yule maiti anavyokatwa mara mkono,mara apasuliwe kifua...daahhh...sitaki kukumbuka asee ile kitu.
 
Katika simuliza za Sativa anasema kutoka Dar es Salaam mpaka Arusha "escort" yake ya watu watatu na mmoja Rasta walikuwa wanavuta bangi na kunywa pombe za kushushia kitimoto na ndizi huku wakimtesa sana
Madaraka makubwa kwa watu wenye uwezo mdogo ni hatari sana kwa nchi na watu wake,
 
Basi tunatofautiana mkuu,me niliwahi kushuhudia postmortem,nikaona yule maiti anavyokatwa mara mkono,mara apasuliwe kifua...daahhh...sitaki kukumbuka asee ile kitu.
Naomba Maelezo zaidi kuhusu Postmortem tafadhari
 
Naomba nikuambie kitu ndugu, hiyo ni kazi, ni fani kama fani zingine.

Kuna watu watu wanasomea kutesa na kuua, kama vile daktari anavyosomea kutibu na kuponya.

Labda niishie hapo kwanza.
Hii ipo na ukweli, mfano hao dactari moja katika mafunzo yao ni Chezea Cadava mpaka wanaona kawaida tu , wakati wengine kupita makaburin unajiuliza mara mbili , ila ya hawa ni upumbavu, kwa nini huwa watu wasio kuwa na hatia kisa kulinda vyeo vya watu,upumbavu huu
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Inasikitisha na kuumiza sana!

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Mwenye akili timamu hawezi kufanya mauaji na utekaji atakuwa amekatika fuse fulani kichwani na wanatumiwa tu naye atapotezwa mbeleni akikosa kuwa na faida kwa wanaomtumia.
 
Usiku wa jana mida ya saa 6 usiku jamaa yangu mmoja alinidokeza kua anaenda kulala kwa mke wa jirani yetu hapa kitaa. Eti kisa tu mume kasafiri, ukweli nilikosa cha ku.shauri. Hatumii pombe wala bangi. Hio ndo hali halisi binadamu ni majasiri kinoma.
 
Naomba Maelezo zaidi kuhusu Postmortem tafadhari
Postmortem inafanyika pale ambapo kifo cha mtu kina mashaka,hivyo ndugu mnachukua kibali cha kufanyia Postmortem kifo cha mpendwa wenu..sasa ngoma inakuja kwenye hicho chumba cha maiti wakati wa zoezi zima lazima ndugu wa marehemu muwepo au mwanasheria wenu kama mnae,Askari police pia.
So ngoma inaanza kwa maiti kupasuliwa kila angle kama unavyoona mbuzi anavyopasuliwa wakati wa kumchinja..then wakishajiridhisha wanamshona kisha mnakabidhiwa majibu na mwili wa mpendwa wenu mkauzike.
Niliwahi kushuhudia hilo tukio mara moja,kuna ndugu yangu alikufa kifo cha kutatanisha so ndugu wakaomba mwili ufanyiwe kwanza Postmortem kabla haujazikwa.
 
Hawatumii kitu, ni watu ambao hisia zao ni tofauti kidogo. Wao hufurahi wakikusikia unalia kwa uchungu kutokana na maumivu wanayokusababishia. Wasiposikia unalia kwa uchungu wanaongeza maumivu kwa kukupa mbinyo zaidi. Ni aina ya tatizo la afya ya akili.
 
Hebu jiulizeni, je kati ya hawa vijana wanaomsulubu huyu daktari na kiongozi anayewaamrisha kufanya hivyo, nani ni mvuta bangi!

Hii ilitokea mwaka 2015 kwenye mkutano wa kampeni mchana kweupe na mbele ya maelfu ya watu na hakuna hatua ilichukuliwa! Alliyeonja nyama ya mtu haachi.
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Inasikitisha na kuumiza sana!

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Tuwekeeni video clip iliyochukuliwa kisiri wakati kiongozi wa CDM akitekwa ndani ya basi la Tashrif, Kiobo Tegeta. Pale umati wa watu na magari yapitayo hayakauki saa zote. Haiwezekani wale jamaa waliondoka na mtu bila ya kusema kitu gani walichomtuhumu huyo kiongozi mbele ya abiria, dereva na kondakta wake. Haiwezekani abiria aliyekuwa amekaa mkabala na kiongozi wa CDM alipata tiketi ya EFD ya kusafiria kwenda Tanga bila kutaja namba ya simu ambayo ni sharti ipokee ujumbe kuthibitisha mkataji.

1. Uongozi wa Tashrif sehemu ya ukataji tiketi wanalo la kujibu kwa namna gani walimpatia tiketi msafiri bila kutumia namba yake ya simu ambapo wengine huwa wanawakatalia
2. Haiwezekani wakati trafiki akichukua rushwa abiria huwa wanachukua video clip lakini kwenye tukio lililofanyika hakuna hata mmoja akili zilimtuma kuchukua baada ya kumtoa abiria mwenziwe ndani hadi chini kumpandisha kwenye defender
3. Gari hizo za defender wakati zinaondoka zilipenya kwenye foleni zikijulikana ni ama polisi, usalama au JW
4. Hapo Kibo Tegeta kuna CCTV kamera
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Inasikitisha na kuumiza sana!

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Bange ni kilevi kiungwana sana,usiingize kwenye ukatili,wakatili wanazaliwa na ukatili wao,na kuna mafunxo ya ukatili imani yangu wanapewa hawa watu

ACHANA NA BANGE,WAVUTA BANGE WASTAARABU SANA
 
Mkuu inauma sana .
Ukiwaza anayefanyiwa hivi ni wewe, baba yako mzazi au ndugu yako wakaribu just imagine? Maumivu unayopata? Na sababu kuu eti kuwa mpinzani....Aisee!!

Kweli kutofautiana kisiasa inapelekea mtu anaacha mjane au watoto yatima? Inafikirisha sana!!!

Hivi inawezekana dunia ya leo watu wote wawe chama kimoja? Dini moja? Kabila moja?

Wauaji mnatukosea sana tunao baki kutufanya tuamini Duniani hapa kuna Miungu watu wakuamua nani aishi nani abaki.

Muda ni suluhisho la tatizo..tujipe muda. Kuna wachache wameamua kutuharibia kabisa Taifa letu kwa masilahi yao mafupi.
Usilolijua nyuma ya pazia
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Inasikitisha na kuumiza sana!

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Yupo Gentleman mmoja anajiita mwanadiplomasia atusaidie kwenye hili tafadhali.Inaonekana anafahamu mengi.
 
Mzee ni training tu Kuna baadhi ya wadada kwenye kozi za udaktari wa binadamu huogopa mortuary na MAITI (Koti ceremony)
Ila KADRI siku zinavyo enda unazoea mpaka unaona kawaida.

Kuna Uzi hupo humu wa jasusi mmoja wa Mugabe alikili kuhusika na kuua na kutesa wapinzani wa serikali ya Mugabe (hufundishwa na watu katili wasio na huruma wanavuta bangi na pombekali )

Na ukisha ingia huko hutoki mpaka kifo yaani unakua kwenye ndoa hutoroki wewe ni killing mashine na itakua hivyo Maisha yotee..

Kwa East Africa Makabila ya WATUSI, WAHUTU, WAKURYA , pia kabila analotoka IDDI AMINI pia Jamii za watu wa Kenya utawapata watu wanyama na makatili wa aina hiyo

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom