Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania.
Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29)
Wanajua namna ambavyo bila kushikamana kwenye ubaya wao, wanahatma ya kufikishwa mbele ya sheria mapema sana.
Nawashauri wanabodi, tuwaeleze ukweli wao kuwa nao ni miongoni mwa vikosi vilivyobeba silaha na kwenda kuua raia kabla na baada ya Oktoba 29.
Wameua ndugu zetu na sasa wanakuja mitandaoni kutusanifu
Uzi tayari