Wanaotetea mkataba kati ya Tanzania bara na DP World wanasumbuliwa na udini!

Duh

Ova
 
Kwa Kauli Zako Hizi Inawezekana Ata Wewe Na Uzee Wako Huna Marinda.
Uliyatoa Kipindi Ukimhifadhia Bikra Aliyekuoa.
 
Jielekeze kwenye topic
 
Tanganyikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,njooooooooo haraka Kuna waizi wanagonga gonga na vitu vizito wanakaribia kuvunja ,wamevunja komeo like kubwa la bunge wamekaribia wale mbwa wa ulinzi hawaonekani wamepewa vinyama vyenye dawa za kulewa wamelewa, Tanganyikaaaaaaaaaaaaaaaaa! Fanya haraka njoooooo,tunaibiwa Sasa wewe bado unavuta miguuuu huko,chelewa chelewa utakuta mwana so wako
 
Na huo ndio ukweli, vipengele vyenye ukakasi wa kuuza nchi ndio hoja, tunaomba hoja hizo zijibiwe
 
Zaidi ni wazanzibar na waisiharamu ...hakuna muislamu anaweza kutetea ule uhuni wa dp
 
Kama ni hi basi kama Taifa tuna safa ndefu katika kufikia maendeleo ya kweli.
 
Mimi ni Atheist nina kama miezi 6 lakini natetea uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar kama kuna makosa katika VIPENGELE vya mkataba basi virekebishwe.

Nawapinga wanaopinga uwekezaji kwenye Bandari kwasababu ya Mbari (Race) yao au Dini zao.

Na ninawapinga wanaomtukana huyu Mama wa watu kila uchwao wakati wa Magufuli waliufyata mkia na kuuingiza tumboni.
 
Wewe kigagula wacha uongo wako wa kishetani,wewe unalipa vijana wadogo wakufanye kinyume na maumbile ndiyo maana kila mtu anayepingana na uovu wa DP World unam brand ushoga kwa vile ushoga ndiyo umeujaza moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…