Wanaotetea muungano wana mali tanganyika na wasioutaka mali zao zipo Zanzibar.

Wanaotetea muungano wana mali tanganyika na wasioutaka mali zao zipo Zanzibar.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano.

Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
 
Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano.

Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
Mbona mpingaji mkuu Saada ana vitegauchumi Dar na Dodoma
 
Kwa vyovyote Muungano uvunjwe tu hauna faida ,hizo mali hazina shida ,mbona waarabu wana ardhi hapa TZ na si waTZ? Hata hao wenye mali kina Bar-lacer wanaweza kuuza hisa kwa waTanganyika mambo yakenda ,tusiendelee kuumia kisa kuwalinda watu wachache tu.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom