ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia
Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂
Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho
Jana kapewa Ateba. Mchezaji anageuka kama lorry la mchanga ndo kapewa😂
Kuna mechi alipewa Camara na hakudaka mpira hata mmoja
Kwa upande wa mtani hakuna mchezaji anapiga kazi kama Ngoma na Kapombe ila hawajawahi kupewa hii tuzo , tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo amekuwa alipewa mchezaji konokono na mpiga penalty Ahoua
Huu utabaki kuwa mtazamo lakini naona wawe na watu wanaofanya tathmini ya mchezo na kujua vigezo sahihi vya kumpata mchezaji bora