Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana...
Huku ni kuweweseka... Nyie wana wa Pirates, mnakumbuka metoa droo na timu zipi? Ntie wachawi mnaoroga hadi nje ya nchi tena huku 'Royo tuwa' ikiwa imeshika hatamu mefungwa mara ngapi ndani ya hii ligi ya NBC..!?
 
Hajui mpira! Kwenye soka matokeo yoyote yanatokea kwa timu yoyote. Mf. Mamelodi walitolewa champions league na Ile timu ya Angola hakuna aliyetarajia.
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana...
Nilisema ukiona mtu ni shabiki wa Simba na mwanachadema, anakuwa ni mpuuzi kama Tundu Lissu! Hii sredi inaconfirm
 
Ooh kwahio simba ilivyochomoagoli kwa geita inafaa kucheza mechi za kimataifa???

Tuache ushabiki wa kindezi ndezi huo ni mpira na mpira unadunda dakika 90
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
ww unaefungwa na timu mbovu mbeya city huna aibu???
 
Yanga bado inajenga timu, hata ubingwa wa awamu hii haukua lengo umekuja tu, so tutaenda kushiriki tu ila 2024 ndio tutaenda kushindana adi final ya cuf au shirikisho
Sema ubingwa mmeupata baada ya kuinunua Tff na karia
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Kweli kabisa,kamae ilivyokuwa kwa timu duni kama Simba kushindwa kuifunga timu duni ya Yanga
Ukweli nakubaliana na wewe kuwa Simba na Yanga zitatia aibu kimataifa
Na wewe usipikubaliana na mimi utakuwa na matatizo kichwani
 
Back
Top Bottom