Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .