sasa nyie uto mtachomolewaje golu na watoto dakika za lala salamaOoh kwahio simba ilivyochomoagoli kwa geita inafaa kucheza mechi za kimataifa???
Tuache ushabiki wa kindezi ndezi huo ni mpira na mpira unadunda dakika 90
Yanga ipi ya kimataifa unayoizungumzia wewe?Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
hahaha.ndo maana ccm inaongoza nchi ujueWe jamaa ungerudi huko huko kwenye chama chako huku unaharisha tu
Kuwa mvunilivu wewe, kichapo kwenu ni nje ndani.Moderator naomba uje ufute huu Uzi Wa huyu kidampa
Sawa DadaKuwa mvunilivu wewe, kichapo kwenu ni nje ndani.
Dada ni yule katoa huduma kwa rivers united dar na nigeria.Sawa Dada
Ahaa kumbe ndo ww Dada nilikuwa hata sijuiDada ni yule katoa huduma kwa rivers united dar na nigeria.
UchawiNaomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Jikite kwenye hojaHili chizi chadema imelishinda limehamia huku kwenye soka ..
Huku utatia aibu rudi huko huko.
Kupoteza mchezo au kufungwa ? Tuwekane sawa tafadhaliNa tumuulize huyu Erythrocyte throcy ni timu gani haijawahi fungwa hadi sasa kwenye ligi hii ya NBC?
Mmepotezea wapi!? Jalalani? Mnahitaji msaada wa kuutafuta huo mchezo mlioupoteza..!? MMEFUNGWA MAGOLOKupoteza mchezo au kufungwa ? Tuwekane sawa tafadhali
Kati ya timu ambazo huwa zinalitia taifa katika aibu ndiyo utopolo sasa . Ebu , fikiria unawezaje kumaliza ukiwa wa mwisho kwenye kundi lenye timu mbovu kama Rayon sport na gor mahia halafu unajisifu Yanga haijawahi Kulitia taifa aibu?Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Ebu nipe matokeo ya geita na yanga home & away yalikuwaje alafu ndo turudi kuelekezana vizuri inawezekana mimi ndo napoteza kumbukumbuAngalia kwenye msimamo Geita iko wapi na hao Biashara United wako wapi
Dah!...subiri kutupiwa mawe na wana uto...Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Sema ubingwa mmeupata baada ya kuinunua Tff na karia
Angalia kwenye msimamo Geita iko wapi na hao Biashara United wako wapi