Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

Ooh kwahio simba ilivyochomoagoli kwa geita inafaa kucheza mechi za kimataifa???

Tuache ushabiki wa kindezi ndezi huo ni mpira na mpira unadunda dakika 90
sasa nyie uto mtachomolewaje golu na watoto dakika za lala salama
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Yanga ipi ya kimataifa unayoizungumzia wewe?
 
Attachments

  • D1D97710-A77E-4BB6-88B3-AD725FAE73E3.jpeg
    D1D97710-A77E-4BB6-88B3-AD725FAE73E3.jpeg
    61.5 KB · Views: 13
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Uchawi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
"Yaani kule ukimuondoa Mzee Manara na J. K, wanaobaki hawajielewi" Alisikika jamaa mmoja hivi.
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Kati ya timu ambazo huwa zinalitia taifa katika aibu ndiyo utopolo sasa . Ebu , fikiria unawezaje kumaliza ukiwa wa mwisho kwenye kundi lenye timu mbovu kama Rayon sport na gor mahia halafu unajisifu Yanga haijawahi Kulitia taifa aibu?
View attachment 2237031
 
Kuna timu kusini ya jangwa la Sahara hairogi!! Msimu uliopita Kuna clip ilikuwa inawaonyesha Kaizer walivyokuwa wanachimbia na kumwaga ulozi kule kwao.Vile tu haikwenda viral ila ukweli ndio huo.Simba tatizo wao walifanya wazi, Kuna clip moja Pondamali alikuwa anahojiwa kuhusu kuroga itafute ujue ukweli kuhusu hizi timu za Kariakoo.
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Dah!...subiri kutupiwa mawe na wana uto...

Its Pancho ukikaidi utapigwa2 Chukwu emeka zipompa
Shadeeya
Shombe la Kisomali

Ila wana msimbazi watakupongeza kwa kuwa mkweli.
Championship Ghazwat Scars
OKW BOBAN SUNZU Root
 
Mkuu huyo Geita aliyekukazia Simba kafungwa na Yanga mechi zote mbili za ligi kuu pamoja na moja ya FA. Tuseme kuwa Geita na Simba wana ubora sawa kimataifa? Kagera na Mtibwa waliokunyanyasa wote wamefungwa na Yanga. Azam aliyekutesa juzi kapigwa ndani nje na Yanga. Na hii ndio football. Matokeo ya Yanga na biashara hayawezi kuwa kipimo cha Yanga kwenye mechi za kimataifa. Biashara yuko nafasi mbaya kwenye ligi lakini alimfunga aliyefika nusu fainali kwenye CAF Confederation Cup. Unajua Orlando ni ya ngapi kwenye ligi yao huko South Africa? Lakini ni finalist wa CCC.
Angalia kwenye msimamo Geita iko wapi na hao Biashara United wako wapi
 
Back
Top Bottom