Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.

Screenshot_20231103_210244_X.jpg

Screenshot_20231103_210358_X.jpg

Screenshot_20231103_210407_X.jpg

Screenshot_20231103_210414_X.jpg
 
Meanwhile, the number of people in the world who support Palestine continues to increase dramatically. Study shows that

#I stand with the Palestinian people [emoji110]
IMG_20231103_161702.jpg
 
Meanwhile, the number of people in the world who support Palestine continues to increase dramatically. Study shows that

#I stand with the Palestinian people [emoji110]View attachment 2803083
You stand with palestine beacuse you hate jews and israel. Most of u stand with hamas beacuse they represent your true nature.

If you stand palestians, you would condemn because they are evil, you would condemn hamas for the massacre, you would condemn hamas for fighting bebind gazan people.
 
Hawa Wayahudi wa namtumbo ni wajinga sana. They don't have a single clue about what is going on in the world,[emoji28]
Magaidi wa buza mnaelewa ujinga wenu ili mnaokombatia kwa maana ndio asili yenu.
 
Vipi Waarabu wa Misri, Morocco, Algeria, Tunisia, Mauritania na baadhi Sudan n.k waondoke Africa warudi kwao Arabian Peninsula
Kwanza ujue wale wa afrika ya kaskazini hawaitwi waarabu, wao ni 'moors' na 'berbers' ijapokuwa unawaona ni weupe kama waarabu na wamechanganya na waarabu.
 
Vipi Waarabu wa Misri, Morocco, Algeria, Tunisia, Mauritania na baadhi Sudan n.k waondoke Africa warudi kwao Arabian Peninsula
Lini wafrica walishi nchi hizo, we unafahamu mana ya North Africa inaitwa nini? Kasome dogo kuitwa Africa si kuwa wananchi wa hizo nchi ni wafrika kumbe hapa kuna vichaa hawajui continental na nchi nini tofauti

Leta history kama hizo nchi ulizo taja wafrica walishi pale ndio asili zao? Usiwe mjinga unaropoka tu kama chizi katokea mirembe.
 
Kwanza ujue wale wa afrika ya kaskazini hawaitwi waarabu, wao ni 'moors' na 'berbers' ijapokuwa unawaona ni weupe kama waarabu na wamechanganya na waarabu.
Acha uongo wewe barbers wamebaki tu wa morrocoo.

Islamic invasion na jamiii za kiarabu ilimeza jamii zote katika north africa.

Hata hawa wapallestina mnaowatetea ni sio zao la philistine, ni zao la invasion la kiislam na kiarabu lililokuja kuivamia israel na kuacha wayahudi kukimbia nchi za jirani.
 
Hawa
Kwanza ujue wale wa afrika ya kaskazini hawaitwi waarabu, wao ni 'moors' na 'berbers' ijapokuwa unawaona ni weupe kama waarabu na wamechanganya na waarabu.
Hawaitwi na nani?
 
Washughulikiwe... hatuwezi acha wapumbavu wachache wapoteze kwa makusudi maisha ya watu!

NB: Majibu ya IDF ni colateral damage!
 
Washughulikiwe... hatuwezi acha wapumbavu wachache wapoteze kwa makusudi maisha ya watu!

NB: Majibu ya IDF ni colateral damage!
Watakomaa na kobazi zao
 
Back
Top Bottom