Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Wewe tena na mihogo yako😂kwa vile umefika hapo ulipo, usidharau wa chini yako.
kuna mmama wa mihogo namjua, anasomesha kupitia hiyo mihogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tena na mihogo yako😂kwa vile umefika hapo ulipo, usidharau wa chini yako.
kuna mmama wa mihogo namjua, anasomesha kupitia hiyo mihogo
Kuna vitu vingine sio vya kuchukulia seriousTafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu 😅
Unataka kusema chuo nilidanganywa na mwalimu wangu na Google ilinidanganya ?Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu [emoji28]
Wapi hukoWauza mihogo wanaingiza pesa kuliko hata waajiriwa
Sifa kuu ya ujasiriamali ni value creation. Kama huja create value kwenye unachofanya huo ni uchuuzi tu.Hapo umechanganya Innovation na Entrepreneurship. Innovation kwa kiswahili ndo uvumbuzi ambacho ndo umeelezea hapa. Ujasiriamali ni kuanzisha biashara yoyote mpya au kuendeleza iliyopo lakini katika namna ambayo italeta faida. Sifa kuu ya mjasiriamali ni kutoogopa sana hatari zinazoweza kutokea kwenye mchakati wa biashara (Risks). Mjasiriamali sio lazima awe mvumbuzi. Na pia mvumbuzi sio lazima awe mjasiriamali.
Lakini kwa dunia ya sasa wavumbuzi wengi wamekuwa wajasiriamali pia kwa maana ya kuweka uvumbuzi wao kwenye biashara na kuanza kupiga noti ndefu. Wale wavumbuzi ambao hawakuwa wajasiriamali wengi wao waliishia kupata kiasi kidogo cha fedha au pengine kufa maskini huku akiwafaidisha wajasiriamali makini watakaouchukua uvumbuzi wake na kufanya biashara.
Kina Mark Zuckerberg, Bill Gates na wengine ni wavumbuzi na hapohapo wajasiriamali. Wapo wavumbuzi kama kina Newton tunawasifu ila kwenye upande wa biashara hawatajwi kabisa.
Ulivyotaja mihogo nimemkumbuka mama aliyekuwa anatuuzia mihogo pale mtoni karibu na kanisa la St Theresa, Arusha. Mungu ambariki sana yule mama kwa kutuwezesha wanafunzi kwenye suala zima la mihogo. Tuliokuwa tunaenda maktaba ya mkoa na tuition Arusha Sport mtakuwa mnamkumbuka yule mama. Nimalize kwa kusema wewe Restless Hustler ni mtu wa KUPUUZWA kwenye jamii ya watu wastaarabu.
Muuza mihogo ni mchuuzi ikiwa anainunua ikiwa in Raw form na kuiuza in the same form. No value addition.Kwa iyo muuza mihogo tunamuweka kwenye kundi gani sasa?
Unataka kusema chuo nilidanganywa na mwalimu wangu na Google ilinidanganya ?
Ujasiriamali ni kitendo cha ku add value katika bidhaa, kwa mfano niuze mihogo ya kukaanga niweke na chachandu huu ni ujasiriamali
Simply put, ujasiriamali ni kitendo cha ku add value katika bidhaa ili kujipatia kipato
Kila mtu siku hizi mradi anauza chochote basi ni mjasiriamali.Sina dharau. Naomba tujadili tafsiri ya ujasiriamali.
SahihiWajasiriamali Tanzania ni wachache sana.
Wafanyabiashara wadogo wadogo wanajiita wajasiriamali.
uvumbuzi na ubunifu
creativity and innovation
HakikaWale wanaitwa WAVUJAJASHO MKUU
😁😁😁😁😂Ukijiita mfanyabiashara unawakaribisha TRA
Watz wanachanganya mjasiriamali na mfanyabiashara sana😀😀achana nao hawatokuelewaTafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu 😅
Basi Hata mo na bakressa ni sawa na hao wauza mihogo maana hawajabuni computer Wala machine harafu inaoneka wewe ni first year kwa Padre PioTafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu 😅
Hakuna kipya sokoni zaidi zaidi viboreshwakipyaa kwenye eneo lakini sio kipya kwenye soko.
Invention ni ugunduzi wa kitu kipya kabsaa ambacho hakikuwahi kiwepokuendesha biashara kwa lengo la kupata faida.
unachokizungumzia wewe ni uvumbuzi(innovation)