Uchaguzi 2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

Uchaguzi 2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

Huo uwongo wenu wa CHADEMA mwisho wenu ni October
 
Mwaka huu ccm wamekosa mpaka mawakala baadhi ya maeneo ndio ujue sasa kwamba hawana Chao
Kweli CCM mwaka huu hawana Chao na hawana mawakala hivyo Chadema mtahesabu kura pekee yenu na HAKUNA visingizio Tena vya kuibiwa kura.
Lissu rais bado siku tano tuu.
 
Back
Top Bottom