Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nimdanganye nani mbona Watanzania wanaharibika Tanzania tuu hapa panya road wapo Tanzania na vikundi kibao vya uhalifu vipo Tanzania hao Watanzania laki moja tuu wapo Johannesburg na si SA yote...Watanzania wengi wamefanikiwa kupitia SA sema ninyi wenye roho zenu za kutu kuongea kuwa sehemu fulani ukituliza akili utafanikiwa unaona kama utapasuka...Unaongopa ....
SA nzima Kuna wabongo takriban laki moja maximum , wanaofanya biashara za trucking hawafiki 30 na ni ma- alwatan. ..
Ninyi ndio mnaotoa "false hopes " na kufanya vijana wakimbilie South Africa na kuharibikiwa huko.
Unaongopa ....
SA nzima Kuna wabongo takriban laki moja maximum , wanaofanya biashara za trucking hawafiki 30 na ni ma- alwatan. ..
Ninyi ndio mnaotoa "false hopes " na kufanya vijana wakimbilie South Africa na kuharibikiwa huko.
Nimdanganye nani mbona Watanzania wanaharibika Tanzania tuu hapa panya road wapo Tanzania na vikundi kibao vya uhalifu vipo Tanzania hao Watanzania laki moja tuu wapo Johannesburg na si SA yote...Watanzania wengi wamefanikiwa kupitia SA sema ninyi wenye roho zenu za kutu kuongea kuwa sehemu fulani ukituliza akili utafanikiwa unaona kama utapasuka...
Wapo Watanzania SA walienda na nauli tuu leo wapo mbali sana na wengine ukikutana nao huwezi jua kuwa ni Watz hao madogo wenye maduka makubwa ya hardware JHB au yule dogo ana maduka kama utitiri JHB CBD angekua Tanga angefanya nini wakati miaka mitano nyuma alikua mchimbachumvi tuu..Na mtu kama huyo ukimkuta anafanyisha kazi vibarua mda wa kuwalipa mtihani.. vijana mkipata nafasi nendeni SA kama utakuwa na misingi yako na misimamo hakuna atakaye
Wapo Watanzania SA walienda na nauli tuu leo wapo mbali sana na wengine ukikutana nao huwezi jua kuwa ni Watz hao madogo wenye maduka makubwa ya hardware JHB au yule dogo ana maduka kama utitiri JHB CBD angekua Tanga angefanya nini wakati miaka mitano nyuma alikua mchimbachumvi tuu..
sasa mtukufu tusiyaneze au tuendelee kuyaabezaAcha uvivu.. mtukufu
Sasa wewe wa 26m kwa miaka mitano ni 5,200,000 kwa mwaka kwaio ninyi ni ndugu wa baba mmoja....🤣🤣🤣🤣Nikajua utakua umeshatoboa kumbe bado Bora utupe stori ya mademu wa SA tu hizo 3M ulizotafuta kwa miaka mitatu huko kwa hapa bongo mbona ungeweza pia, mm sina raman ya kueleweka lakin ndani ya miaka mi5 hapahapa bongo nimefanya mambo ya karibu 26M kumbe nikienda SA ntakua narudi nyuma tu
Ndo maana nikasema muhuni hajanishawishi kutoka huu uzi ni sawa na kuniambia huko mbele ni kugumu zaidSasa wewe wa 26m kwa miaka mitano ni 5,200,000 kwa mwaka kwaio ninyi ni ndugu wa baba mmoja....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awee, Mkuu ukirudi tena kaburu nitafute nikupe mchongo wa maana,Sio mgunduzi mzuri... ila shukrani kwa kupitia pitia hizo comments
Siwezi kukuforce.. kwani sio faida kwangu wala kwako.. ukweli utajibeba wenyewe
Umekaa SA mji gani? Mitaa ipi? Kwa jinsi ulivyoandika hii story unamzungumzia mtu hujizungumzii wewe, ninamaanisha kwamba kwa aina ya uandishi wako na ulichokiandika South Africa hujafika, na kama umefika basi hujazidi miezi 3, prove me wrong Mkuu!
Duh !!!
SIJAPATA nilichokitarajia....labda nina usingizi.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kweli kabsaMtaani kazi.. dili kilo 1 nasikia mpaka ml-1 kuna ukweli au story .. kilo ya skanka
Mkuu heshima kwako. Naomba connection ya mademu wale wenye bantu waliojaziajazia naskia Capetown wapo wa kumwaga kabila la Mandela Khosa.Baadhi yao wajinga wajinga.. wenye uelewa wao hawawezi kujifananisha na mavi.. jinga jinga tu ndio zinajifananisha na mavi