Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Unajitangaza kwa 26m wakati watoto wa SA wanalipia kodi gari moja lenye mizigo 56m hapo Tunduma na karibu vijana wengi wana maroli ya mizigo...Umekunywa chai lakini? Au homa inakusumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitangaza kwa 26m wakati watoto wa SA wanalipia kodi gari moja lenye mizigo 56m hapo Tunduma na karibu vijana wengi wana maroli ya mizigo...Umekunywa chai lakini? Au homa inakusumbua?
Endeleeni kudanganyana hivyo hivyo kila sehemu kuna level ya kupata kwa kila mtu inawezekana yeye alivyotoka na alichokipata ni stahiki kwake maana hata Tanzania hapa wapo ambao hawajapata hizo kwa muda huo mnavyoandika utadhani Watanzania wote waliobaki ni matajiri wakati tunaonana humu tukigombania dala dala za kwa mpalange...
stow awayASTROWAY
Umejitahidi mdogo angu kwa hicho ulichokipata pambana maisha yaendelee...Doooh dala dala za kwa mpalange... ah ah ah
Ubebe ya nini?hiyo dola 1000 tu.Kwa wewe hata bia haitoshi.. kwangu ni pesa mzigo ambayo hata kuibeba kkwa pamoja nashindwa
Ubebe ya nini?hiyo dola 1000 tu.
Kuna kadi unaweza tumia kwa laki3
Kwasiku
ni hela utatumia wiki 2 tu.
Sasa hiyo hela ya kudiscuss kweli.
Tutafte hela sio kulalama lalama tu.
Wengi unaowaona wenye mafanikio walianzia chini usiwasikilize wapiga mbiu wanaokukatisha tamaa..Asante sana mkuu.. kwa kunipa moyo .. shukrani sana sina cha kuongeza na haidi ntapambana zaidi INSHAALLAH [emoji1431]
Endelea kutafuta kijana,hele la zpo mbele. Wengi tumepitia huko hatusemi tu.Naendelea na harakati mkuu sijaacha kutafuta pesaa.. ila hongera sana kumbe tupo na MO-DEWJ humu jf na hatutambui mkuu jitambulishe basi usitutishie MO-DEWJ wa JamiiForums
Endelea kutafuta kijana,hele la zpo mbele. Wengi tumepitia huko hatusemi tu.
Na mi ni mwenzio nimeelewa vizuri tu kwenye kutafuta.Sio Mo dewji.
Ila mama yangu aliwapiga kiingereza sana wao na watoto wa Nagji sgdani zamani sana.
So siwezi kuwa mo Dewji.
Kanuni ni tafuta linda maslahi familia inufaike.
Naishia hapo.
Sijui niingie wapi? Nitokee wapi? Naona nitafuta kiwanja cha pesa hiyo ninunue niende kujichanga pesa ya kujenga kaka .. bongo ukiwa na nyumba alaf kijana mdogo.. maisha mazuri kaka najua unalijua hilo.. nikiingia kwenye biashara naichoma hii pesa kaka mzunguuko wa bongo itaiua.. bora south.. naweza hata nikanunu midonge na michumi nirudie zama zangu naizalisha hii pesa kwa kule
Mzee ndio hiyo hiyo... ukipanda juu hapo nimeweka story SEHEMU YA PILI PANDA UKASOME UTAPATA VITU MZEE
Unaongopa ....Unajitangaza kwa 26m wakati watoto wa SA wanalipia kodi gari moja lenye mizigo 56m hapo Tunduma na karibu vijana wengi wana maroli ya mizigo...