Wanapenda kusema ooh, Afrika Kusini ndugu zetu. Wasikie 'Wasauzi' wenyewe

Halafu Kwanini tuwatetemekea Wasouth?, Kwani huko South Africa ni Mbinguni?. Waache ujinga .
 
Sts
Standards of living in Ghana iko far better kuliko Tanzania.., ama hauna taarifa?.., nyie ni mifukara tu, yaani kukosa namna na uwezo kwa wingi, sio fursa, mko hovyo wacha uongo, uchi wenu uko wazi sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
standard of living ingekuwa chini tusingeona wageni na wakenya wengi wakiishi kuajiriwa na biashara lukuki na kuweka makazi ya kudumu

Pale siha Kilimanjaro kuna wakenya walikuja miaka ya zamani sana mpaka wamepewa uraia
Hio Ghana unayosema ni shida na njaa Tupu utapeli umetapakaa

Kila kitu kipo hapa watu wanakula bata .
 
sisi tumeenda marekani kuzindua royal, tukirudi nchini kwetu tutakuwa tunajisifia kwamba tunaupiga mwingiπŸ™‚. kuzurula kila kona ya nchi kipindi hiki cha covid alafu tunatamba kufungua nchi
Kajambe ulale Dogo
 
Standards of living in Ghana iko far better kuliko Tanzania.., ama hauna taarifa?.., nyie ni mifukara tu, yaani kukosa namna na uwezo kwa wingi, sio fursa, mko hovyo wacha uongo, uchi wenu uko wazi sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya imekuja na suluhisho rahisi katika kutatua changamoto ya maji.
 
Kajambe ulale Dogo
naona mpo busy mnazindua filamu πŸ™‚ πŸ™‚ , mwezi ujao sijui mmejipangaje maana bei za mafuta zinazidi kupanda...au mtawaambia tena wananchi kwamba "na bado bei zitapanda sana"πŸ˜€πŸ˜€. au ndio Mtakuja na "Royal Marathan" mtaifanyia Uholanzi mbebane wote mlipane posho wakati wananchi wanajililia wenyewe na njaa
 
So Gustav opperman embodies the whole SA population?
And I can't be surprised if Gustav typed the opinion from kibera,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna Kitu Kimesababishwa na Mkenya hapa Au Mchina.

6 Towers - Chinese Developer
Express ways - Chinese owned
Vegetation- May be planted by Kenyans or Imejiotea yenyewe[emoji1787]

Na mtu ana Audacity kwenda kutambia watu wanaofanya vitu vyao wenyewe nchini mwao. [emoji1787]

 
Birds of a feather. You mutual respect with South Africans is based on shameful things as portrayed by the picture attached here under.View attachment 2193271
Askizi! Tuwe maadui Tu na hawa wana kunjani godwa, tukubali tuwakenya wametuzidi mpaka LBGQT levels zao zipo kimataifa!

Hawa wanamchunga Nani!?
 
Nyimbo ina maneno matatu tuu.. Ukivimba sana utapasuka man

"AHSANTE SANA TANZANIA"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…