Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania 🇹🇿 hatuwafikii kiuchumi.
Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na palestina zinazopigana vita kila siku.
Tunafeli wapi wazee, yani nchi inapigana vita uchumi unaporomoka kisha wanajenga tena uchumi wao na wanatukuta na kutuzidi, ila sisi tupo pale pale.
Shida inakuwa ni wapi Wakulungwa?