The Economist ranked Israel as the 4th most successful economy among developed countries for 2022. The IMF estimated Israel's GDP at US$564 billion and its GDP per capita at US$58,270 in 2023 (13th highest in the world), a figure comparable to other highly developed countries.Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ๐น๐ฟ hatuwafikii kiuchumi.
Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na palestina zinazopigana vita kila siku.
Tunafeli wapi wazee, yani nchi inapigana vita uchumi unaporomoka kisha wanajenga tena uchumi wapo na wanatukuta na kutuzidi, ila sisi tupo pale pale.
Shida inakuwa ni wapi Wakulungwa
And yet we caรฑnot surpass them during this warThe Economist ranked Israel as the 4th most successful economy among developed countries for 2022. The IMF estimated Israel's GDP at US$564 billion and its GDP per capita at US$58,270 in 2023 (13th highest in the world), a figure comparable to other highly developed countries.
Palestina ina uchumi gani?Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ๐น๐ฟ hatuwafikii kiuchumi.
Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na palestina zinazopigana vita kila siku.
Tunafeli wapi wazee, yani nchi inapigana vita uchumi unaporomoka kisha wanajenga tena uchumi wao na wanatukuta na kutuzidi, ila sisi tupo pale pale.
Shida inakuwa ni wapi Wakulungwa?
Kabsa. System iliyopo ni yakiboya sanaRevolution is needed
Ina maana hujui tukakofeli au unatania? Uongozi au niseme watawala. Huwezi kuwa na rais kama mama Samia halafu utegemee maendeleo.Lakini bado na vita yao hatuwezi kuwakaribia kiuchumi... Afrika tunafeli wapi
Amani iliyopo Tanzania ni amani ya viongozi kufanya lolote bila hofu ya kuondolewa kwenye madaraka au kushtakiwa. Ndiyo maana wanakuwa wakali kweli kweli wanapoona watu wanasema udhaifu na madhambi yao.Ccm inawadanganya kuwa amani inaketa maendeleo,uongo,nchi zote zilizoendelea zinaoenda kupigana au kupigana mkwara
Labda hatuwafikii Israel ila sio hao WapalestinaPalestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ๐น๐ฟ hatuwafikii kiuchumi.
Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na palestina zinazopigana vita kila siku.
Tunafeli wapi wazee, yani nchi inapigana vita uchumi unaporomoka kisha wanajenga tena uchumi wao na wanatukuta na kutuzidi, ila sisi tupo pale pale.
Shida inakuwa ni wapi Wakulungwa?
Tunawazi wapalestina kwa lipi wakati hata manati ya kiwindia ndege hatuwezi kutengeneza kwa teknolojia iliyobireshwa bado tunatumia tube za magari zilizochakaa. Wapi na wapi bhaaana!! Hata tukijitutumua uongo!Labda hatuwafikii Israel ila sio hao Wapalestina
Akili hamna siyo kingine.Lakini bado na vita yao hatuwezi kuwakaribia kiuchumi... Afrika tunafeli wapi
Kasome Ilani ukurasa wa 42Maono, uvumbuzi utumiaji wa rasilimali tulizojaaliwa. Rasilimali zao wanavuna wao na kuuzia dunia sisi tuna rasilimali ila ana vuna mzungu na mchina. Viongozi wetu wakipewa tu bilion kadhaa kwa account zao baasi
Ungeweka na palestina ili hoja ya mtoa mada iwe ya kweli au uongo.The Economist ranked Israel as the 4th most successful economy among developed countries for 2022. The IMF estimated Israel's GDP at US$564 billion and its GDP per capita at US$58,270 in 2023 (13th highest in the world), a figure comparable to other highly developed countries.
Ilani ndio nn..? Siasa hatutakiKasome Ilani ukurasa wa 42