Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊
Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊
Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana hazipitiki ( Yawezekana wachache ikawa kweli ila wengine si kweli ni vile tu uliona wewe huwezi sasa kila anayweza unamuona mshirikina)
Kuna watu wanaogopa kwenda kufanya usaili kwenye taasisi kubwa wakiamini ili upate kwenye taasisi hizo lazima uwe na mtu mbele ila amini na kwambia kuna watu wengi tu wanapata bila mjuano bali uthubutu wao tu wa kuona njia panapoonekana ukuta
Haya mambo ya ukikosa unasema mpango wa Mungu au ukiwa maskini unasema ni mipango ya Mungu hupunguza uwezo wa kufikiria zaidi hivyo hata ambapo ungepata suluhisho kwa akili zako unaacha na kusema ni mpango wa Mungu.
Sehemu nyingi tulizoona ukuta kuna watu walipita na mara nyingi njia hizo ndio huwa zina hatima nzuri japo si rahisi kupitika
Tupambane kila siku kuona namna ya kupita badala la kusema HAKUNA NJIA
#Mwanasayansi Saul kalivubha.
#Mitandaoni Fikia Ndoto zako.