Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Kwa mara moja moja sio mbaya, nafikiri kama jamaa ni mtu wa kupenda utalii na kujifunza uzoefu wa safari za mbali kutakua na kitu alifunza humo kwenye vituo na stand mabasi.Mkuu jana somebody aligoma kupanda Basi kubwa la kutoka Songea hadi Dodoma directly. "FEO"
Yeye akajipandia Vi-Coaster vidogo akaunga unga, Akashuka Njombe akapanda ya Iringa, Ndipo akapanda tena ya Dodoma.
Reason: Nauli inapungua 2000 ukiunga unga, na kwamba eti hizo gari kubwa ni za Matajiri.
Infact alisafiri kwa shida - kubanana, akachelewa kufika, Tena akafika simu imezima chaji wakati angepanda basi kubwa angeichaji na simu yake.
Watu wachache sana wanaweza kua "OPTIMISTIC" Kwenye hii sayari - just 1%.
Utalii sio point yake, Point ni kwamba Gari kubwa ni za Matajiri.Kwa mara moja moja sio mbaya, nafikiri kama jamaa ni mtu wa kupenda utalii na kujifunza uzoefu wa safari za mbali kutakua na kitu alifunza humo kwenye vituo na stand mabasi.
Haahaa huyo bwana mkubwa ana matatizoUtalii sio point yake, Point ni kwamba Gari kubwa ni za Matajiri.
Labda,,,,,,! π€π€Haahaa huyo bwana mkubwa ana matatizo
Mitizamo hasi hiyo inamtesaMkuu jana somebody aligoma kupanda Basi kubwa la kutoka Songea hadi Dodoma directly. "FEO"
Yeye akajipandia Vi-Coaster vidogo akaunga unga, Akashuka Njombe akapanda ya Iringa, Ndipo akapanda tena ya Dodoma.
Reason: Nauli inapungua 2000 ukiunga unga, na kwamba eti hizo gari kubwa ni za Matajiri.
Infact alisafiri kwa shida - kubanana, akachelewa kufika, Tena akafika simu imezima chaji wakati angepanda basi kubwa angeichaji na simu yake.
Watu wachache sana wanaweza kua "OPTIMISTIC" Kwenye hii sayari - just 1%.
Sahihi, atakwambia labda umchangie ya juu.Mitizamo hasi hiyo inamtesa