We live everyday,we only die onceUna umri gani?kula bata maana yake ni kufanya starehe...starehe yoyote utakayoifurahia uilipie au kutoilipia ili mradi umestarehw iite bata
Japo vijana wa mjini kula bata inamaana ya kutumia fedha kwenye pombe, mziki, ngono, kamari na mengineyo bila kuwa na feeling ya kujutia...we only live once
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.
Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu? Kutembelea vivutio? Kulala? Kuangalia michezo? Mitoko ya kifamilia?
Je, mimi ninayelala badala ya kutoka kama wengine nahesabika kama nakula bata? Au nikiwa 'outing' nikaishia kunywa soda na kupiga soga na washikaji nahesabika kama nakula bata?
Je, kuna 'standards' na 'criteria' za kusema mtu fulani anakula kula bata au la?
Hebu tusemezane, ukisikia mtu anakula bata unaelewa nini? Au unaposema unakula bata huwa unafanya nini?
Hii dhana inanichanganya kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂👐👐👐
No zoezi zima la kutumia pesa kwa nia yaku jufurahisha nafsi sio kutumia huku BP inapanda au kushuka
Ndio, bata ni starehe inayokonga nafsi ukafurai na kusahau kama unashida au kuna kufaNa mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???
Inabidi uanze kula hilo bata hata kama halijapitishwa na wala bata.Inawezekana wengine tukawa hatuli bata kabisaa hapa duniani,.
Ngoja tusubiri majibu ya wajuvi.
Nna miaka 10 kasoro miezi 9.Una umri gani?kula bata maana yake ni kufanya starehe...starehe yoyote utakayoifurahia uilipie au kutoilipia ili mradi umestarehw iite bata
Japo vijana wa mjini kula bata inamaana ya kutumia fedha kwenye pombe, mziki, ngono, kamari na mengineyo bila kuwa na feeling ya kujutia...we only live once
Upo sahihi ila butter haitengenezwi ulaya tu, butter hutengenezwa kutokana na cream ya maziwa, Kwahivyo kwa wafugaji butter/siagi ni kitu cha kawaida sana.Bata inayozungumziwa siyo Bata huyu ndege ni Bata Ile ya kupaka kwenye mkate inatengezwa ulaya, ni tamu balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie jina moja tu la butter inayotengenezwa tanzania, nahisi hujanielewa mkuu, kukosa ulaya hata jina la dona lile la ugali tusinge kuwa nalo, maana nalo limetoka kwaoUpo sahihi ila butter haitengenezwi ulaya tu, butter hutengenezwa kutokana na cream ya maziwa, Kwahivyo kwa wafugaji butter/siagi ni kitu cha kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asasi Dairy butter. Inatengenezwa hapo iringa tu.Nitajie jina moja tu la butter inayotengenezwa tanzania, nahisi hujanielewa mkuu, kukosa ulaya hata jina la dona lile la ugali tusinge kuwa nalo, maana nalo limetoka kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula bata ni kupata furaha kwa njia yeyote ile kwa mda mfupi ambayo lazima ulipie pesa..Na mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???
Bata humjui au unataka kutuchosha tu?Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.
Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu? Kutembelea vivutio? Kulala? Kuangalia michezo? Mitoko ya kifamilia?
Je, mimi ninayelala badala ya kutoka kama wengine nahesabika kama nakula bata? Au nikiwa 'outing' nikaishia kunywa soda na kupiga soga na washikaji nahesabika kama nakula bata?
Je, kuna 'standards' na 'criteria' za kusema mtu fulani anakula kula bata au la?
Hebu tusemezane, ukisikia mtu anakula bata unaelewa nini? Au unaposema unakula bata huwa unafanya nini?
Hii dhana inanichanganya kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mbishi wewe, haya sema kingineNitume picha moja tu ya asasi dairy butter inayotengenezwa tanzania mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app