Wanaposema Kula Bata wanamaanisha nini?

Wanaposema Kula Bata wanamaanisha nini?

Una umri gani?kula bata maana yake ni kufanya starehe...starehe yoyote utakayoifurahia uilipie au kutoilipia ili mradi umestarehw iite bata

Japo vijana wa mjini kula bata inamaana ya kutumia fedha kwenye pombe, mziki, ngono, kamari na mengineyo bila kuwa na feeling ya kujutia...we only live once
We live everyday,we only die once

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.

Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu? Kutembelea vivutio? Kulala? Kuangalia michezo? Mitoko ya kifamilia?

Je, mimi ninayelala badala ya kutoka kama wengine nahesabika kama nakula bata? Au nikiwa 'outing' nikaishia kunywa soda na kupiga soga na washikaji nahesabika kama nakula bata?

Je, kuna 'standards' na 'criteria' za kusema mtu fulani anakula kula bata au la?

Hebu tusemezane, ukisikia mtu anakula bata unaelewa nini? Au unaposema unakula bata huwa unafanya nini?

Hii dhana inanichanganya kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,ungeuliza na nchi ya ahadi wanavyobanduana nyuma nayo ni "wanajila bata"
 
Una umri gani?kula bata maana yake ni kufanya starehe...starehe yoyote utakayoifurahia uilipie au kutoilipia ili mradi umestarehw iite bata

Japo vijana wa mjini kula bata inamaana ya kutumia fedha kwenye pombe, mziki, ngono, kamari na mengineyo bila kuwa na feeling ya kujutia...we only live once
Nna miaka 10 kasoro miezi 9.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah..[emoji41]
hungy-man-eating-chicken-450w-45008737.jpeg

Sent using Beretta ARX 160
 
Upo sahihi ila butter haitengenezwi ulaya tu, butter hutengenezwa kutokana na cream ya maziwa, Kwahivyo kwa wafugaji butter/siagi ni kitu cha kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie jina moja tu la butter inayotengenezwa tanzania, nahisi hujanielewa mkuu, kukosa ulaya hata jina la dona lile la ugali tusinge kuwa nalo, maana nalo limetoka kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bata ni tafsiri ya comfort zone yeyote ile. Iwe kunywa, kupigana mikasi, kuvuta kaya ama shisha, kupumzisha mwili n.k!
Anything that brings relaxation ni butter!
 
Kula bata ni kutia vombo tu, zingine zote ni blah blah tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.

Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu? Kutembelea vivutio? Kulala? Kuangalia michezo? Mitoko ya kifamilia?

Je, mimi ninayelala badala ya kutoka kama wengine nahesabika kama nakula bata? Au nikiwa 'outing' nikaishia kunywa soda na kupiga soga na washikaji nahesabika kama nakula bata?

Je, kuna 'standards' na 'criteria' za kusema mtu fulani anakula kula bata au la?

Hebu tusemezane, ukisikia mtu anakula bata unaelewa nini? Au unaposema unakula bata huwa unafanya nini?

Hii dhana inanichanganya kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bata humjui au unataka kutuchosha tu?
Muscovy-duck.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom