kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Hiyo butter siyo ya bongo hapa sisi hatujaanza kutengezeza mkuu kwanza watu hawatoweza mudu bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unatokea kijiji gani butter/siagi hata bibi yangu kule kijijini anatengeneza locally halafu wewe sijui unasema nini.Hiyo butter siyo ya bongo hapa sisi hatujaanza kutengezeza mkuu kwanza watu hawatoweza mudu bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kuhamisha magoli, aliyesema butter ya kupaka kwenye mkate na kua Inatengenezwa ulaya ni nani
Asietia vyombo hali bata?Kula bata ni kutia vombo tu, zingine zote ni blah blah tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hulipii pesa sio bata?Kula bata ni kupata furaha kwa njia yeyote ile kwa mda mfupi ambayo lazima ulipie pesa..
Sent using Jamii Forums mobile app
ni moja ya bata....Na mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???