Wanaposema Kula Bata wanamaanisha nini?

Wanaposema Kula Bata wanamaanisha nini?

Hiyo butter siyo ya bongo hapa sisi hatujaanza kutengezeza mkuu kwanza watu hawatoweza mudu bei

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unatokea kijiji gani butter/siagi hata bibi yangu kule kijijini anatengeneza locally halafu wewe sijui unasema nini.

Eti sio ya bongo ebu nenda super market yoyote waambie wakupe asas butter halafu angalia imetengenezwa wapi

Haya nyingine hiyo ya tanga fresh,
images(13).jpeg
images(14).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula bata imetokana na nini? Nakumbuka mabaharia zamani walikuwa wanasema wanaenda UBATANI nikajiuliza ndio wapi? Kumbe ubatani ni Uturuki aka Turkey. Turkey ni bata mzinga. Turkey ni chakula maalum cha Christmas kwa nchi za Ulaya na Marekani. Christmas ni sherehe kubwa kuliko zote kwa nchi za Magharibi na chakula kikuu ni Turkey aka bata.

Sasa watu wakisema wanakula bata maanake ni wanafanya/wanakula starehe kubwa.

1553845074708.png
 
Kula bata inategemea mtu na mtu.
Kwangu mimi ni kuwa na pesa hadi pochi haifungi.
Niwe na jimama tipwatipwa
Nyama ya mbuzi yakutosha
Kachumbari na pilipili kwa mbali
Castle lite zisizo na idadi
Mziki wa OTTU kwa mbali
taxi ya kuhamia bar 2 au 3 na kwenda grsti iwepo karibu.
Hapo nasema nakula bata.
 
Back
Top Bottom