majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 567
Pole Natalia, huyo jamaa amekumwaga vibaya lol!!....................ila usijali ndo game zilivyo, huwezi kuujua mpira vizuri bila ya kuchunike magoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongosho naomba nifanyie collection ya nyuzi za natalia za leo tu kisha nitamwambia kitu please nisaidie. naona anachzika mwenzenu tumuokoe mapema.
yule alikuwa kiboko. I kept imagining nina-break up na mtu halafu anaanza kutangaza Blaine mvivu, anaenda rnd ## tuu or hajui mikao mingi, nk. Mungu aepushilie mbali lolanaitwa DaJane wa ----mboya.
Ndio hivyo uwe na sifa hizo mbili au moja kati ya hizo...lakini huna pesa...haya mapenzi hujuhi...afu na wewe unatumia usemi wanaume tupo wachache...huu usemi hauwahusu wanaume wote ni wale wenye sifa kati ya hizo au zote.