Wanaposema wanaume adimu inamaanisha wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

Wanaposema wanaume adimu inamaanisha wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

Pole Natalia, huyo jamaa amekumwaga vibaya lol!!....................ila usijali ndo game zilivyo, huwezi kuujua mpira vizuri bila ya kuchunike magoti.
 
Juzi kamwagiwa maji na bajaji tandale kisiwani, sasa anatafuta wa kumpatia gari ili aepukane na adha ya usafiri na kujikimu njaa. Msaidieni jamani,single boys mpooooo.
 
sitaki kumsema Natalia, kwani sijui yaliyomkuta**usione ukadhani**, Cha Msingi Kujua Mapenzi ni Majaliwa au tuseme ni utundu wa mwanaume, kupenda kula vyakula vyenye nguvu siyo chips....Pesa ina mata sana katika Mapenzi, Mpenzi nataka aonekane Mrembo so Lazima nimpeleke saloon, Lazima avae classic, Lazima nimpe matumizi, Lazima nimtoe out, yani namjengea Mazingira ya kutofikika kiurahisi na vidume vingine, ikiwezekana nikiweza hata mambo mengine ya kifamilia nampiga kampani ili kumfanya awe mwenye furaha pamoja na familia, ***HERI KUTO KULIKO KUPOKEA**** NIKITOA NINA AMANI NI MWANAUME
 
Mapepo yanayomwandama Natalia yashindwe na yalegee kwa jina la YESU wa nazareti
 
namuonea huruma huyu dada,nafikiri kuna mtu kamtenda manake kila topic yake main point ni wanaume tu.
 
Wanaume tuwe macho na Natalia (hasa wa hapa JF tunaopata kujua mawazo yake);

a) She can sleep with a man she doesnt love a couple of times (thread ya juzi 29/08)
b) She is ditching a man who has lost his employment but retains his heart n dick (thread ya jana 30/08)
c) She is now with pesa na mapenzi as her defiition of a man (today 31/08)

Other female members, I promise not to see you through Natalia!!!
 
Wadau mbona mmemshambulia Natalia bila sababu ya msingi. Kwani kuna sheria ya limit idadi ya thread mtu anapaswa kuanzisha kwa siku? Kwani thread zikiwa na theme moja ni tatizo? Wengi humu thread zenu zina theme moja kwa kuwa ndio mitazamo yenu ilipolalia.

Mi naona wakati mwingine tunajisahau na kuanza kazi ya ukaguzi badala ya kuchangia au kupotezea kama tunaona thread haina mpango.
 
huyu anawashwa sana, anawaza mapenzi kila muda, wadau wa 0713 jamani hebu mhudumieni huyu, hili ni janga la JF, inabidi litatuliwe
 
Kongosho naomba nifanyie collection ya nyuzi za natalia za leo tu kisha nitamwambia kitu please nisaidie. naona anachzika mwenzenu tumuokoe mapema.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...gu-ni-bora-mwanaume-mwenye-pesa-au-elimu.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...u-anaomba-nisimwache-ninampenzi-mwingine.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/315756-mwanaume-kafukuzwa-kazi-na-muacha.html

kuna nyingine lakini ipo JLKikubwa so siwezi kui-link, msaidie kungwi maana mie namuona kama ni gold digger b---- asiye na mapenzi ya dhati. kama wanaume wanamchosha ajitoe sokoni for a while, sio lazima kuwa na mwanaume 365/year instead of whining everyday

anaitwa DaJane wa ----mboya.
yule alikuwa kiboko. I kept imagining nina-break up na mtu halafu anaanza kutangaza Blaine mvivu, anaenda rnd ## tuu or hajui mikao mingi, nk. Mungu aepushilie mbali lol
 
Last edited by a moderator:
Nasita kukutukana ila ww ni ******a, KAOLEWE NA BANK kama unapenda pesa.
Kwanza huwa unafanyia wapi hiyo biashara ya K, tuje kukudai kodi coz itakuwa inakulipa sana, jinsi unavyoipigia promo!!!!
 
hv huyu mdada ana 35yrs and she sound like a teenager jaman au ndo uliruka stage? ya u- teenager unafanya uzeeni mayb na ya uzeeni uliyafanya enzi za u teenager.

pengine hata huyo mmeo kapoteza direction kwa stress unazompa
 
Ndio hivyo uwe na sifa hizo mbili au moja kati ya hizo...lakini huna pesa...haya mapenzi hujuhi...afu na wewe unatumia usemi wanaume tupo wachache...huu usemi hauwahusu wanaume wote ni wale wenye sifa kati ya hizo au zote.


Waambie mama, yaanai hawa watu akishajua kuvaa suruali basiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
Back
Top Bottom