Wanariadha wa Kenya wanatumia vidonge

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
16,681
Reaction score
8,241
Shutuma zimetolewa na vyombo vya habari kwamba wanariadha wa Kenya na wale wanaokwenda kufanya mazoezi Nchini Kenya wanatumia banned substances kuwawezesha kushinda kwenye mashindano mbalimbali.

Haya chacha tuone watatoka vipi maana madaktari ambao wana ushahidi wamesema wanariadha wengi wamekuwa wakiwaomba msaada wa kutumia vidonge ambavyo vimepigwa marufuku. Viongozi wa juu Nchini Kenya wamekataa kujibu simu kwa tuhuma hizi ambazo ndio kwanza zinaanza kuwaka moto.
 
duh! Hata Semenya walimsemenya wee mwishowe akawasemenya wasemenyaji.
 
Source please?
Kama hatujui kukimbia na kuvuna medals basi tufunge midomo badala ya kuanza wivu usiokuwa na msingi

Mkuu sio uzushi hizi ni habari za uhakika na madaktari tayari wana evidence ... .. recorded hivi sasa wanajaribu kila mbinu kupata msemaji wa Kenya lakini jamaa wanagwaya more will come on this nitakapokuwa na muda . Hii habari nimethibitisha mimi mwenyewe ........ ..... siwezi kuzua jambo kama hili sina hiyo sababu na huwa sizushi.

 
Mbona mashindano ya olympic yamekwisha,acha tusubiri matokeo.NO HURRY IN AFRICA!
 
this is no news, niasiku nyingi sana, unajua the mzungu huaga they want to get into bottom of things na mi sidhani kama they can lie on this ..for what? ..kimsingi, hio ndio inakwitwa 'kenyan aggressiveness' lol, way to go mngiki
 
Kenyan athletes under scrutiny in doping inquiry

An investigation into allegations of widespread doping by Kenyan middle and long-distance runners has been launched following an undercover sting.

Kenyan athletes under scrutiny in doping inquiry - Telegraph
 
Duh kumbe ndiyo maana wanachota medal kibao.
 
Mkuu tatizo hili liko wide-spread karibu Dunia nzima, siyo Kenya tu - wana riadha wengi Duniani wanakuwa under tremendous pressure kushinda - wanaweza kufanya lolote ili washinde!

Kitu kingine tunapaswa kuwa wangalifu na media za magharibi, wakati mwingne wanapenda sana kuonyesha kwamba ushindi wa Wakenya kwenye mbio za marathon na nyingine siyo natural, lazima wanatumia madawa ya ku-boost performance!!! Lakini wanasahau kwamba wana riadha wa Kiafrica walio pita walikuwa clean kabisa chukulia wana riadha kama: Antao, Keino, Ben Jipcho, Abebe. Filbert Bayi nk.

Nakumbuka juzi juzi hapa walikuwa wanamwandama kabinti kadogo ka Kichina eti kanatumia madawa ya kuongeza nguvu ndio maana kanashinda sana kwenye mbio za kuogelea! Kumbe kibinti chenyewe kilianza mazoezi ya kuogelea kingali na miaka mitatu/minne; Wazungu hawataki kuamini hilo - lazima mshindi hawe mzungu tu rangi nyingine wanaona siyo jadi yao, ni watu wa ajabu sana! Niliwahi kushuhudia huko Ulaya wakimsema sema na kumkebehi msichana mwenye asili ya Africa ambaye alikuwa ni hodari sana katika mashindano ya ice skating , majaji walikuwa hawampendi kweli kweli.

Nimalizie kusema kwamba tuzianze kuwalahumu wa Kenya kwenye mabo yenye utata sana, tuache watu independent wa-comfirm kama kweli madawa yanatumika ku-boost performance ya wana riadha wa Kenya na Wengine katika bara la Africa.
 
Hii kitu inaweza kuwepo but naamini ni sehemu ndogo sana...mafanikio makubwa kwa wanariadha wa Kenya ni kujituma na maandalizi ya muda mrefu.
 
Mtawaweza watu wa makabila ya kifugaji kwa mbio?
Wana pumzi, wana miguu mirefu, wana kila kitu.
Wivu tu!
 
ni maumbile yao na mazoezi wafanyayo ndo siri ya mafanikio yao katika riadha. suala la dawa laweza kuwepo lakini biologically ni watu ambao wanaweza kukimbia
 
Tupe source ili tuwe na uhakika, hayo mengine ni story tu. Ninavyoelewa WADA wapo juu sana katika kupima madawa yaliyozuiwa michezoni, iweje wakenya waweze kukwepa?
 
Tupe source ili tuwe na uhakika, hayo mengine ni story tu. Ninavyoelewa WADA wapo juu sana katika kupima madawa yaliyozuiwa michezoni, iweje wakenya waweze kukwepa?


Soma vizuri, hiyo story mwanzo haikuwa quoted ... .... soma post 9. wanariadha wote wanaoshikwa ni baada ya miaka kadhaa, inajulikana na watashikwa tu ... ..

 
Msomali wa kiingereza Mo Farah chacha analia baada ya kugundulika ni mtumiaji wa madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…