Wanariadha wa Kenya wanatumia vidonge

Wanariadha wa Kenya wanatumia vidonge

Shutuma zimetolewa na vyombo vya habari kwamba wanariadha wa Kenya na wale wanaokwenda kufanya mazoezi Nchini Kenya wanatumia banned substances kuwawezesha kushinda kwenye mashindano mbalimbali.

Haya chacha tuone watatoka vipi maana madaktari ambao wana ushahidi wamesema wanariadha wengi wamekuwa wakiwaomba msaada wa kutumia vidonge ambavyo vimepigwa marufuku. Viongozi wa juu Nchini Kenya wamekataa kujibu simu kwa tuhuma hizi ambazo ndio kwanza zinaanza kuwaka moto.
Tuliwaambia wakabisha aibu ni yao khe khe khe khe khe kheeeeeeeee
 
Back
Top Bottom