Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliwaambia wakabisha aibu ni yao khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeShutuma zimetolewa na vyombo vya habari kwamba wanariadha wa Kenya na wale wanaokwenda kufanya mazoezi Nchini Kenya wanatumia banned substances kuwawezesha kushinda kwenye mashindano mbalimbali.
Haya chacha tuone watatoka vipi maana madaktari ambao wana ushahidi wamesema wanariadha wengi wamekuwa wakiwaomba msaada wa kutumia vidonge ambavyo vimepigwa marufuku. Viongozi wa juu Nchini Kenya wamekataa kujibu simu kwa tuhuma hizi ambazo ndio kwanza zinaanza kuwaka moto.