The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Our boy Simbu anatuwakilisha vizuri. Yuko kwenye lead group hata mtangazaji kamzungumzia vizuri sana dakika 1 iliyopita.
I am proud of him. Until this time he has impressed me a lot.
Simbu piga hao jamaa. Nifurahishe kama Tepogo wa Botswana alivyonifurahisha kwa kuwanyamazisha wale midomo wamarekani
Olympic is a very very relentless sports season, kama huna ubavh usijaribu. Mtangazaji anasema hali ya hewa ya Jua Paris, milima na miinuko bado jamaa wako fiti wanapambana sio jambo la utani.
Mshikaji wangu Kipchoje ameumia nyonga lakini bado yumo, bado anakomaa, ana ile no retreat no surrender. Kipchoje amejifunza kutoka kwa Legendary wetu John Akwari alieenda kushiriki Olympiki Mexico city 1968, akaumia goti, akaumia bega na nyonga baada ya kuanguka lakini akakomaa na kumaliza masaa 5 baadae. My country did not send me 5000 miles away to start the race, but to finish the race. Mwisho yeye ndio akawa star zaidi ya hata mshindi wa kwanza.