Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Kuna mmoja anaitwa Guey naye yupo nyuma kidogo
Ndio naangalia hapa bro, nilikuwa barabarani nimewahi home nifuatilie kwa utulivu.

Cha msingi medali tu, hata moja inatosha wakati tunasubiria kesho wanawake.
 
Ikibaki kilomita 1 ndo utaona watu wanavochomoka kama mshale, utashangaa anayeongoza muda huu mwishoni anakuwa wa 10.
 
Yani ni magorofa tupu na hioni haya tunayo yaita madirisha ya aluminiun yanayotamba kwenye magorofa ya hapa tz 😁😁 kuta za majengo hayo na finishing iliyofanyika vinatoa jibu moja tu kwamba hayo majengo ni imara na hayatachoka leo wala kesho
Weka picha officer
 
Back
Top Bottom