Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni watu wengine kabisa ni special maana sio tu 30+km kumbuka na pace wanayoendaIla tuacheni utani kukimbia zaidi ya km 30 sio mchezo..unahitaji kuwa na zaidi ya mapafu ya mbwa.
Eliud kipchoge haonekani?Huyu Tola mbona kama ana enjoy hii run ogopa sana mtu wa hivi
Ni kafichwa mbali sana hata hatajwiEliud kipchoge haonekani?
Simbu anachukua silver au bronzeSimbu karudi namba 3 wakuu. Mtangazaji anamzungumzia Simbu
Sasa pumba na mchele vimeanza kuachana na kutengana.
Eithiopia 2 mbele na mtanzania 1.
Mtangazaji anasema will be a big story if this Tanzania man win a medal
Yuko vizuri sanaSimbu anachukua silver au bronze
Simbu namba 2, mtangazaji anamzungumzia muda wote kwamba this man is incredible.Simbu anachukua silver au bronze