Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Ngoja tuone,tusimkatie tamaa..kwenye marathon mambo hubadilika muda wwte
 
Eliud Kipchoge yuko position gani mnaongalia huko...?
 
Kipruto anakuja vizuri mno.

Simbu karudi nyuma sana. Hata top 10 hayupo
 
Doh!

Naona tunachemsha tena kwenye marathon...

Kile kilima between 27km na 28km ndio kimekata energy ya Simbu na wenzake wengi...
 
Huyu mkenya sijui katokea wapi ghafla, anaweza kushika namba 2
 
Back
Top Bottom