Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Huyu mkenya naye Kipruto ana prove uzoefu una matter sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji anasema he is a fastest man on earth. Ametoka kuchukua medali hivi karibuniHuyu mkenya sijui katokea wapi ghafla, anaweza kushika namba 2
Kila la heri mkuu, ni vizuri kuishi kuenjoy kila inapowezekana, huku tunapita tu! 😄Ntachukua hata mkopo but one of my birthday lazima niile Paris na si mbali najua budget ya 5ml na Schengen visa nitapata kile nafsi inataka
Tola alipanga hesabu zake vizuriTola ni mshindi Kipruto anafuata
Wabebe na ilani pamoja na t-shirt za SGRLEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay
Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2
#Olympic #Olympicgame #Paris
Abdi nae anaonekana energy IPOEthiopia wanaweza kubeba 2.
Tola na Geleta
Amen 🙏🙏🙏Kila la heri mkuu, ni vizuri kuishi kuenjoy kila inapowezekana, huku tunapita tu! 😄
Update Ni Simba Vs yangaTupeni updates wakuu
Hajulikani hata yuko wapi..Simbu kaachwa wapi?
Geleta katupa taulo kipruto ana energy sanaAbdi na Kipruto watauana.
Geleta kaona isiwe kesi.
Huyo kachanganyikiwa na warembo wa kifaransa. Anawashangaa huko nyumaSimbu kaachwa wapi?