Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Ntachukua hata mkopo but one of my birthday lazima niile Paris na si mbali najua budget ya 5ml na Schengen visa nitapata kile nafsi inataka
Kila la heri mkuu, ni vizuri kuishi kuenjoy kila inapowezekana, huku tunapita tu! πŸ˜„
 
LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay

Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2

#Olympic #Olympicgame #Paris
Wabebe na ilani pamoja na t-shirt za SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…