Wanasayansi: Bikra hutoka mara mbili hadi kuisha kabisa.

Wanasayansi: Bikra hutoka mara mbili hadi kuisha kabisa.

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
11,125
Reaction score
7,373
Nanuku...hymen(utando) yaani membrane nyembamba sana hufunika vagina,kwa mwanamke bikra ambaye hajui mwanamume uonekana tundu dogo tu,lakini akilala na mwanaume hymen hiyo hupasuka
na akizaa ndipo hupasuka kabisa na sehemu ndogo zitakazobaki huitwa carunculae myratiformas...mwisho wa kunukuu

kwahiyo bikra uanza kutoka wakati msichana akikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,na inaisha kutoka kabisa wakati wa kujifungua.
Source: kitabu;maarifa ya kuzalisha by Albert.R..Cook.
 
Kumbe kabla ya kujifungua msichana anakua nusu bikra kama alisha kutana na mwana/wanaume..
 
i see

nawaza tu, wanawake wanaojiuza nao zinatoka pale wanapozaa? Mmmmh.......
 
na ambao ni matasa wanakufa mabikira sio?
 
duh this is new.. sikuwahi kusikia!! hivi kuna terminology kwa wanaume ambao hawajawahi ku-DO? maana nasikia kwa wabeijing tu...
 
Duh!

Hili nilikuwa gizani sana!

Binadamu kazi kweli kweli!
 
Baadae atajitokeza mwingine atasema hata baada ya kuzaa bikra itakuwepo
 
Back
Top Bottom