Wanasayansi/ Genius Mahiri kupata kutokea Duniani na Mtizamo wao kuhusu Mungu

Kwakweli hapo kwenye Mungu aliyekusudiwa ndio panafikirisha ..nafuu umekuja ""
Nimemsoma Einstein, maisha yake yote. Kwenye vitabu kadhaa, kwa miaka mingi.

Kuanzia alivyoandika mwenyewe mpaka cha Isaacson.

Kuanzia vya sayansi zake, mpaka vya siasa zake kuhusu mambo kama uraia, vita, mpaka alivyopendekezwa kuwa rais wa kwanza wa Israel, mpaka alivyokataa.Mpaka pranks zake Princeton.

Sasa hapa unaweza kukutana na mtu kanukuu nukuu moja tu ya Einstein, hajajua sophistication ya Einstein, jinsi gani alivyokuwa nuanced, his opposition to the personal God - or even what a personal God is, Spinoza's God and Einstein - or even who Spinoza is!

Halafu anataka kukubishia naye.
 
Nimemsoma Einstein, maisha yake yote. Kwenye vitabu kadhaa, kwa miaka mingi.

Kuanzia alivyoandika mwenyewe mpaka cha Isaacson.

Kuanzia vya sayansi zake, mpaka vya siasa zake kuhusu mambo kamauraia, vita, mpaka alivyopendekezwa kuwa rais wa kwanza wa Israel, mpaka alivyokataa.Mpaka pranks zake Princeton.

Sasa hapa unaweza kukutana na mtu kanukuu nukuu moja tu ya Einstein, hajajua sophistication ya Einstein, jinsi gani alivyokuwa nuanced, his opposition to the personal God - or even what a personal God is, Spinoza's God and Einstein - or even who Spinoza is!

Halafu anataka kukubishia naye.
hahahaa "" wenye Uzi mko wapi jamani "" simlimuhitaji kiranga "" ameshakuja now ""....
 
Kiranga ni habari nyingine, eneo hili la uwepo ama kutokuwepo kwa mungu sijawahi kuona mtu kamzidi hoja. Ni mjenzi mzuri na makini wa hoja.

Ukisoma maandiko yake na kutafakari bila jazba wala hisia lazima uguswe.
 
Galileo huyu aliyekuwa aganist na Roman Catholic au!?
 
Kiranga ni habari nyingine, eneo hili la uwepo ama kutokuwepo kwa mungu sijawahi kuona mtu kamzidi hoja. Ni mjenzi mzuri na makini wa hoja.

Ukisoma maandiko yake na kutafakari bila jazba wala hisia lazima uguswe.
Shida tu watanatanguliza hisia na mihemko zaidi ya Kutazama au kuwa critical na kinachozungumzwa mtu hataki ata kufikiria asikiapo mungu, Ndio mana Wanapigwa sana huko makanisani na misikitini
 
ili upate nini then "" naona unadhamira ya kutaka kuuharibu Uzi " be mature pls""...
Kuna umuhimu wakati mwengine kujua jinsia ya mtu humu,maana kila jinsia kuna aina ya kudeal nazo.

Mfano hapo comments za mwanzo tu watu washaanza kumsifia mtu na kujichekesha chekesha,yani yeye mchango wake katika huu uzi ni kumsifia mtu ni bora kuliko wengine na kumchekea chekea.

Ukijua jinsia ya huyo mtu inaweza pengine ndiyo ukajua kwanini anafanya hivyo ukaendelea na yako.
 
sasa akijichekesha wewe "" kinachokuuma ninini ""? " wakati kucheka ni part ya maisha ya mwanadamu " haswaa anapokuwa na furaha "".....Mwanaume huwa hapotezi muda wake "" kwa kukaa na kufuatilia maisha ya watu "" otherwise labda awe na element za u james delicious ""....
 
Matusi rejareja hayo.
Haya tuendelee Mungu yupo ama hayupo.
 
sasa akijichekesha wewe "" kinachokuuma ninini ""? " wakati kucheka ni part ya maisha ya mwanadamu " haswaa anapokuwa na furaha "".....Mwanaume huwa hapotezi muda wake "" kwa kukaa na kufuatilia maisha ya watu "" otherwise labda awe na element za u james delicious ""....

Unaona sasa hapo umuhimu wa kujua jinsia,nadhani ushaielewa point yangu.
 
hahaha umenisaidia kuijua jinsia yako "pia"..... then nimefahamu kuwa una ujamaa na kina kaoge ""....
 
Nashukuru kuijua jinsia yangu,ni kweli nina ujamaa nae kimaumbile,sijui wewe una ujamaa nae kimaumbile pia au kitabia.
 
hahaha kwahiyo una elements za hormones za kike ambazo nazo ni maumbile pia kama za James delicious na kaoge " !? ndio maana kumbe umekuwa shoga yao
 
Kiranga ni habari nyingine, eneo hili la uwepo ama kutokuwepo kwa mungu sijawahi kuona mtu kamzidi hoja. Ni mjenzi mzuri na makini wa hoja.

Ukisoma maandiko yake na kutafakari bila jazba wala hisia lazima uguswe.
Hamna kitu huyo Kiranga nilichogundua ni kuwa anapenda kuwa offensive side ambayo ni rahisi kuliko defensive side ndio maana anaonekana kma amewashinda ila ukimpeleka defensive side lazima akimbie mada embu ingia hapa usome page ya mwisho uone alivyokimbia mada baada ya kumbana kwa swali dogo tu

Is Atheism Satanism?
 
hahaha kwahiyo una elements za hormones za kike ambazo nazo ni maumbile pia kama za James delicious na kaoge " !? ndio maana kumbe umekuwa shoga yao
Habari za hormones za kike tena zinaingiaje? mimi nachojua kaoge alikuwa na mumbile ya kiume na mie ni mwanaume pia kwa hivyo kimaumbile tulikuwa sawa.

Ila sio kesi ngoja nikuache maana hivyo vicheko...mh!
 
Back
Top Bottom