Nimemsoma Einstein, maisha yake yote. Kwenye vitabu kadhaa, kwa miaka mingi.
Kuanzia alivyoandika mwenyewe mpaka cha Isaacson.
Kuanzia vya sayansi zake, mpaka vya siasa zake kuhusu mambo kama uraia, vita, mpaka alivyopendekezwa kuwa rais wa kwanza wa Israel, mpaka alivyokataa.Mpaka pranks zake Princeton.
Sasa hapa unaweza kukutana na mtu kanukuu nukuu moja tu ya Einstein, hajajua sophistication ya Einstein, jinsi gani alivyokuwa nuanced, his opposition to the personal God - or even what a personal God is, Spinoza's God and Einstein - or even who Spinoza is!
Halafu anataka kukubishia naye.