Wanasayansi/ Genius Mahiri kupata kutokea Duniani na Mtizamo wao kuhusu Mungu

Habari za hormones za kike tena zinaingiaje? mimi nachojua kaoge alikuwa na mumbile ya kiume na mie ni mwanaume pia kwa hivyo kimaumbile tulikuwa sawa.

Ila sio kesi ngoja nikuache maana hivyo vicheko...mh!
kwa hiyo umesahau kuwa hormones nayo ni issue ya kimaumbile " au ujuavyo wewe maumbile ni kichwa" miguu " na maumbile ya mwili ""......nilikuwa na kuheshimu " lakini leo " nimekuona ni empty set " uwe unaangaliaga basi na watu wakuwavamia...."" female anopheles"mosquito"..
 
Sasa muda wote hapa tulikuwa tunajadili nini? ok siku nyengine sitokuvamia nitakuandaa.
 
Kaa utafakari.jinsi mtoto anavyozaliwa.na maisha yake ndani ya tumbo la uzazi kuna mengi ya kumjua mungu
 
Kwa mtizamo na imani yangu....wanasayansi mashuhuri kutokea duniani ni wazazi wangu walioniunda, hawa wengine ni mabishoo tu wanaojaribu kuiga wazazi wangu japo habari zao nazipenda pia.
 
Achana na habar za kusoma evidence za wengine na references zao. Wewe kama wewe unahisi ulitegemea Mungu hajiizirishe kwako kwa namna gani ili utambue kwamba yupo. Lakini kumbuka Mungu hawezi kujilikana kwa hao wanaojiona kuwa na maarifa makubwa
 
Soma Biblia mwanzo1 mstari wa 4 mpaka 8. Kisha malizia na Mwanzo mstari wa 14 mpaka 18.

Lengo langu ujue kuwa kwenye issue ya jua na dunia kipi kinamzunguka mwenzake bado hatujapewa ukweli maana sayansi na dini vinapingana ila dini unaweza ukachunguza na ukaubaini ukweli kuliko sayansi.

So hai walioamini hivyo umejiuliza kwanini waliamini na wanaopinga wanapinga kwa ushahidi gani ambao mtu yeyote yule anaweza kuuchunguza na kuubaini ukweli ndio huu?
 
Achana na habar za kusoma evidence za wengine na references zao. Wewe kama wewe unahisi ulitegemea Mungu hajiizirishe kwako kwa namna gani ili utambue kwamba yupo. Lakini kumbuka Mungu hawezi kujilikana kwa hao wanaojiona kuwa na maarifa makubwa
Dhana yoyote inayoelezeka kwa kujipinga yenyewe (self contradiction), haiwezi kuwepo kwa uhalisia.

Hilo unakubali?
 
Dhana yoyote inayoelezeka kwa kujipinga yenyewe (self contradiction), haiwezi kuwepo kwa uhalisia.

Hilo unakubali?
Nakubali kama wewe ulivyoita dhana lakini Mungu sio dhana(concept or theory) au wewe unam define VIP Mungu?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]dah..
 
Kwa mtizamo na imani yangu....wanasayansi mashuhuri kutokea duniani ni wazazi wangu walioniunda, hawa wengine ni mabishoo tu wanaojaribu kuiga wazazi wangu japo habari zao nazipenda pia.
Ficha basi ujinga wako kidogo
 
Achana na habar za kusoma evidence za wengine na references zao. Wewe kama wewe unahisi ulitegemea Mungu hajiizirishe kwako kwa namna gani ili utambue kwamba yupo. Lakini kumbuka Mungu hawezi kujilikana kwa hao wanaojiona kuwa na maarifa makubwa
Ila wewe mwenye maalifa madogo unamjua sio?
 
Umemsahau Leonardo da Vinci..
Yeye anasema "Anahudhunika kwakua Mungu amempa akili nyingi lakini ameshindwa kuzitumia ipasavyo hadi anakufa"
Ati inasemekana Albert Einstein alitumia 9% pekee ya akili yake?
 
Nakubali kama wewe ulivyoita dhana lakini Mungu sio dhana(concept or theory) au wewe unam define VIP Mungu?
Kanza kabisa, naongelea Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana kuwepo.

Mungu huyo, hawezi kuwepo, kwa sababu tushakubaliana dhana inayojipinga yenyewe haiwezi kuwepo kiuhalisi.

Dhna ya Mungu huyo kuwepo inajipinga yenyewe, hivyo Mungu huyo hawezi kuwepo.

Hapo umeelewa mantiki yangu?
 
Kwani mabaya ni nini Kiranga na chanzo chake ni kipi?
 
Kwani mabaya ni nini Kiranga na chanzo chake ni kipi?

Mabaya yamekuwa defined hapo chini, chanzo chake ni ulimwengu kutokuwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, yasingewezekana.

e·vil
ˈēvəl/
adjective
adjective: evil
  1. 1.
    profoundly immoral and malevolent.
    "his evil deeds"
    synonyms: wicked, bad, wrong, immoral, sinful, foul, vile, dishonorable, corrupt, iniquitous, depraved, reprobate, villainous, nefarious, vicious, malicious; More

    antonyms: good, virtuous
    • (of a force or spirit) embodying or associated with the forces of the devil.
      "we have been driven out of the house by this evil spirit"
    • harmful or tending to harm.
      "the evil effects of high taxes"
      synonyms: cruel, mischievous, pernicious, malignant, malign, baleful, vicious; More

      antonyms: good, beneficial
    • (of something seen or smelled) extremely unpleasant.
      "a bathroom with an evil smell"
      synonyms: unpleasant, disagreeable, nasty, horrible, foul, disgusting, filthy, vile, noxious
      "an evil smell"
      antonyms: pleasant
noun
noun: evil
  1. 1.
    profound immorality, wickedness, and depravity, especially when regarded as a supernatural force.
    "the world is stalked by relentless evil"
    synonyms: wickedness, bad, badness, wrongdoing, sin, ill, immorality, vice, iniquity, degeneracy, corruption, depravity, villainy, nefariousness, malevolence; More
    • a manifestation of this, especially in people's actions.
      plural noun: evils
      "the evil that took place last Thursday"
      synonyms: abomination, atrocity, obscenity, outrage, enormity, crime, monstrosity, barbarity
      "the evils of war"
    • something that is harmful or undesirable.
      "sexism, racism, and all other unpleasant social evils"
      synonyms: harm, pain, misery, sorrow, suffering, trouble, disaster, misfortune, catastrophe, affliction, woe, hardship
      "nothing but evil would ensue"
 
Hivi kiranga ulishawahi kushika au kuonana na upepo? Lakini kwa nini unaamini kinachovuma ni upepo?
 
Kwanini yasingewezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…