Wanasayansi mbioni kugundua dunia nyingine

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640


Timu ya wanasayansi wa anga imetangaza kwamba ipo mbioni kugundua dunia nyingine ambayo wameiita an Earth-cousin rather than an Earth twin. Inaaminika inaweza kuwa dunia nyingine ambayo watu wataishi na hii inaweza kuwa mapema kuliko watu wanavyodhani. Hayo yalisemwa jumatatu makao makuu ya NASA Marekani

Source: CNN
 
Mi ntakua wa kwanza toka Tanzania kwenda kuishi huko....:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Hii ni moja ya tofauti kati ya Membe na Lowasa. Lowasa akiwa waziri wa maji ndoo alisimamia kutoa maji ziwa Victoria kupeleka mkoa Wa shinyanga.
 
Itakuwa safi sana maana kutakuwa na ushindani hasa ifikapo michuano kama hii ya kombe la dunia, timu yetu itaenda cheza uko ,,ila usafiri wa uko utakuwa ni rocket tu
 
I believe one day, they will discover another planet which support life but the question is, will the ruler of the world allow them to let us common men/women know about it?
 
Kie kie kie kie binadamu bado wana imani watakimbia kifo
 
Napendekeza huko wapelekwe Waisraeli wote ama Wapalestina.Wanatusumbua kwenye dunia yetu hii.
 
Muende huko kwani mmegundua nyie? thubutuuuu !

Huko watajitangazia umiliki wa asilimia mia moja kama walivyoigundua America ingawa walikuwepo wahindi wekundu.

Gesi, mafuta, dhahabu na utajiri wote utakuwa wa kwao!

Watatukimbia na kuondokana na adha za ugaidi, mabomu, kuomba omba , wahamiaji haramu, kelele za gesi ya kwetu, mara hoo mafuta na madini ya kwetu , tunaonewa na mikataba ya kilaghai wakati hata chepeo la kuchimbia ulanga tunashindwa kutengeneza.

Nakwambia wakiondoka na kutuacha duniani kwa akili zetu tutakimbilia London, Newyork, Paris na miji yote ilioendelea etc baaada ya muda tutakula kila kitu, tutakuunywa wee, kula na kuvimbiwa lakini hakuna uzalishaji tena, viwanda vitakufa tutachafua miji na miundo mbinu na miji itanuka kama ya kwetu, mwisho wa siku tutaanza kuwaomba warudi waje watutawale tu. lol.
 
Sahihisho, SIYO Dunia nyingine Bali ni Sayari nyingine ambayo labda itakuwa inafanana na Sayari yetu ya Dunia kitabia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…