Wanasayansi mbioni kugundua dunia nyingine

Wanasayansi mbioni kugundua dunia nyingine

Unaijua project ya Mars One?! kabla ya 2030 watu watakuwa washatua kule, ni one way ticket na ni bure, bahati yako tu kama kweli uko tayari kuiacha dunia namaisha yako yote uhamie kule. Mpango ni kurusha reality show ambayo itaangaliwa na dunia nzima. Tatizo ndiyo hilo ukienda ndiyo umeenda,HAKUNA KURUDI!

mhh..Aiseh.. sasa hapo Mars tu, ukienda huwezi rudi... imagine another planet from another system...
 
mhh..Aiseh.. sasa hapo Mars tu, ukienda huwezi rudi... imagine another planet from another system...

siyo kwa sababu ya umbali, ni sababu za kiusalama na kiuchumi zaidi. watu zaidi ya laki mbili waliomba, shortlist mpaka sasa ina watu elfu moja, wanatakiwa watu arobaini tu! kuzamia ni asili ya binadamu, hata binadamu wa kwanza walipokata shauri kuliacha bara la afrika na kwenda kusikoulikana nadhani tension ilikuwa kubwa kuliko tension ya sasa ya kwenda sayari nyingine,angalau kwa sasa tunafahamu mazingira tutakayokutana nayo huko,kipindi kile kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo ilikuwa ni kujitoa muhanga tu katika kutafuta maisha bora zaidi.
 
Unaijua project ya Mars One?! kabla ya 2030 watu watakuwa washatua kule, ni one way ticket na ni bure, bahati yako tu kama kweli uko tayari kuiacha dunia namaisha yako yote uhamie kule. Mpango ni kurusha reality show ambayo itaangaliwa na dunia nzima. Tatizo ndiyo hilo ukienda ndiyo umeenda,HAKUNA KURUDI!
Kwa hiyo ukienda watu wa huku duniani inabidi wakufanyie msiba kabisa maana ndio hutorudi tena.....hahahahaaaa
 
kutakua na bar zinauza viroba huko? Kama zipo nitaenda...:A S wink:
 
Kwa hiyo ukienda watu wa huku duniani inabidi wakufanyie msiba kabisa maana ndio hutorudi tena.....hahahahaaaa

Hapo inakuwa kama mmeenda kwenye lile jumba la big brother lakini hakuna kutoka nje.

Hapo mnakuwa kama mbuzi wa kafara au wale panya wa maabara kwaa ajili ya majaribio.

Lakini dunia hii bila binadamu wa kale kujitoa mhanga tusingefikia hapa tulipo na maendeleo yaliyopo na ndiyo maana wa Kaskazini mwa dunia wapo juu sana zaidi yetu basi tu kwa sababu tunafanana kwa sura kama binadamu.

Tatizo letu sisi "wamatumbwi" hatuna hulka ya kujitoa mhanga tunaendekeza sana kula bata pasipo kupanda wala kuvuja jasho.

Wacha wazungu waende watuache sisi "wamatumbwi" na bata zetu za kalagha bao.
 
Bado naamini ndani ya hii galaxy kuna sayari watu wanaishi
 
Wanaotaka viwanja wanitafute mapema! Mimi ndiye mgawa viwanja huko!
 
isee mbona itakua raha, itapoanza kutumika hata mimi ntajichanga nikaish huko maana dunia ya huku imejaa majungu na fitina

Can you withstand dosage of radiations from its active sun? For our planet the protective layer for that is natural.
 
Can you withstand dosage of radiations from its active sun? For our planet the protective layer for that is natural.

Kama huko kwenye sayari nyingine kutakuwa hakuna hiyo protective layer,ni kwanini huko haipo na ipo huku tu?
 
ikiwa sayari mpya itakua na viumbe itakuaje makubaliano?
kama hakuna protective layer?

watoto wa NASA bwana raha sana
 
Kama huko kwenye sayari nyingine kutakuwa hakuna hiyo protective layer,ni kwanini huko haipo na ipo huku tu?

Na hata ikiwezekana kutengenezwa artificial one, itahitajika miaka 1,390,000 ya safari njiani ili kuipeleka. Hii ndio speed kali tunayoiweza. Kwa speed ya light tutahitaji nusu millennium (490 years) kufika huko lakini hii ni mpaka tuwe na uwezo huo ambao technologia yake ya mwanzo ni kuweza kubadili miili yetu kuwa light and vice-versa. Hii sio karne hii wala karne kesho kutwa. The universe is fine tuned.
 
Mkuu,sidhani kama umejibu swali langu ....!!
 
Back
Top Bottom