Wanasayansi mbioni kugundua dunia nyingine

A billion light years away. Ujumbe wa leo jibu kupokelewa na vitukuu.
 
naona watu mnavojidanganya kwenda kuishi huko, hata uchukue hela zote zilizopo duniani uwape NASA na kampuni zinazo-deal na space kama Space X hawana uwezo wa kukupeleka, Mars tu jirani yetu kumfikia miaka zaidi ya 20 sasa ni mahangaiko tu...

Afu kuipata kwenye hiyo telescope itabaki kua nothing more than in papers na sio real proof kua maisha yanaweza kuexist huko, utaambiwa safari inatumia miaka milioni kufika ndo utachoka kama miaka yote hiyo bado utakua mzima... subirini kama yatatokea maajabu warp drive ifanikiwe bac sayari kama hiZo zitafikika sema sio kila mtu, the privileged tu ndo watagusa chini ya asilimia 0.01 ya dunia nzima
 
Cccm watampeleka Balahili hukoo ili hapa dunian acje julikana akaleta balaa
 
last time i checked, about this probable discovery, they said that they have seen/suspected several earth-like planets in our galaxy, according to their machine-ish/kinda-telescope-thingy equip, ofcourse!!. mi sikusoma physics as hard as i should, lakini walisema the nearest planet is very far kama ikitumika our best technology kutengeneza chombo cha kufika huko. infact its so far that no 'passenger' is goin to be alive when it reaches the destination. coz the speed of light may take more than 365days to reach there..also if we would be able to create some spaceship that can get us there even in a year, no body in a ship can survive (refer to the physics studies on space and time)... so u can imagine how 'gettin there' is more of problem than confirming the life existence....
 
dina na cosip watatuwakilisha huko

cop kwa invinzibo
 
Maboya tuu,ndege imepotea mpaka leo kimya! Wakaishi wenyewe huko!
 
huko kutakuwa hakuna kufa huko maana Israel apajui
 
last time i checked, about this probable discovery, they said that they have seen/suspected several earth-like planets in our galaxy, according to their machine-ish/kinda-telescope-thingy equip, ofcourse!!. mi sikusoma physics as hard as i should, lakini walisema the nearest planet is very far kama ikitumika our best technology kutengeneza chombo cha kufika huko. infact its so far that no 'passenger' is goin to be alive when it reaches the destination. coz the speed of light may take more than 365days to reach there..also if we would be able to create some spaceship that can get us there even in a year, no body in a ship can survive (refer to the physics studies on space and time)... so u can imagine how 'gettin there' is more of problem than confirming the life existence....
Si mchezo....basi huko yataenda kuishi majini tu na wachawi...maana ungo naskia ukifumba na kufumbua tu upo New York
 
Nina wasiwasi hii dunia yetu itatelekezwa kama Bi. Mkubwa anavyotelekezwa baada ya kupatikana Bi. Mdogo. Hao wanasayansi washindwe kwa jina la Yesu!
 
I believe one day, they will discover another planet which support life but the question is, will the ruler of the world allow them to let us common men/women know about it?

Worry off the Rule of the World gonna apply " Rich people need Poor people"
 
last time i checked, about this probable discovery, they said that they have seen/suspected several earth-like planets in our galaxy, according to their machine-ish/kinda-telescope-thingy equip, ofcourse!!. mi sikusoma physics as hard as i should, lakini walisema the nearest planet is very far kama ikitumika our best technology kutengeneza chombo cha kufika huko. infact its so far that no 'passenger' is goin to be alive when it reaches the destination. coz the speed of light may take more than 365days to reach there..also if we would be able to create some spaceship that can get us there even in a year, no body in a ship can survive (refer to the physics studies on space and time)... so u can imagine how 'gettin there' is more of problem than confirming the life existence....

Unaijua project ya Mars One?! kabla ya 2030 watu watakuwa washatua kule, ni one way ticket na ni bure, bahati yako tu kama kweli uko tayari kuiacha dunia namaisha yako yote uhamie kule. Mpango ni kurusha reality show ambayo itaangaliwa na dunia nzima. Tatizo ndiyo hilo ukienda ndiyo umeenda,HAKUNA KURUDI!
 
Back
Top Bottom