Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Unaijua project ya Mars One?! kabla ya 2030 watu watakuwa washatua kule, ni one way ticket na ni bure, bahati yako tu kama kweli uko tayari kuiacha dunia namaisha yako yote uhamie kule. Mpango ni kurusha reality show ambayo itaangaliwa na dunia nzima. Tatizo ndiyo hilo ukienda ndiyo umeenda,HAKUNA KURUDI!
mhh..Aiseh.. sasa hapo Mars tu, ukienda huwezi rudi... imagine another planet from another system...
Worry off the Rule of the World gonna apply " Rich people need Poor people"
huko ndiko CDM wataenda kutawala mana huko ndiko mizimu iliko
depends. una washing machine? una watoto wadogo? kuna mzee anahitaji extra attention?
the "minimalest" amount ni 60,000.
Kwa hiyo ukienda watu wa huku duniani inabidi wakufanyie msiba kabisa maana ndio hutorudi tena.....hahahahaaaaUnaijua project ya Mars One?! kabla ya 2030 watu watakuwa washatua kule, ni one way ticket na ni bure, bahati yako tu kama kweli uko tayari kuiacha dunia namaisha yako yote uhamie kule. Mpango ni kurusha reality show ambayo itaangaliwa na dunia nzima. Tatizo ndiyo hilo ukienda ndiyo umeenda,HAKUNA KURUDI!
Kwa hiyo ukienda watu wa huku duniani inabidi wakufanyie msiba kabisa maana ndio hutorudi tena.....hahahahaaaa
isee mbona itakua raha, itapoanza kutumika hata mimi ntajichanga nikaish huko maana dunia ya huku imejaa majungu na fitina
kutakua na bar zinauza viroba huko? Kama zipo nitaenda...:A S wink:
Can you withstand dosage of radiations from its active sun? For our planet the protective layer for that is natural.
Kama huko kwenye sayari nyingine kutakuwa hakuna hiyo protective layer,ni kwanini huko haipo na ipo huku tu?
Na hata ikiwezekana kutengenezwa artificial one, itahitajika miaka 1,390,000 ya safari njiani ili kuipeleka. Hii ndio speed kali tunayoiweza. Kwa speed ya light tutahitaji nusu millennium (490 years) kufika huko lakini hii ni mpaka tuwe na uwezo huo ambao technologia yake ya mwanzo ni kuweza kubadili miili yetu kuwa light and vice-versa. Hii sio karne hii wala karne kesho kutwa. The universe is fine tuned.