Wanasayansi wagundua jiwe lenye ‘utajiri wa kutisha’ angani

Sasa dunia itapata vip utajiri!!!

Hilo jiwe tutawauzia arien au??
Gharama ya kuleta hilo jiwe duniani sidhani biashara hiyo italipa.kuna sayari ya almasi tupu huko angani,bora waelekeze nguvu zao huko.google"The diamond planet".
 
Leo tuna mkutano wa wazazi hapa kwenye Ukumbi wa kata yetu,
Mada kuu kujadili shule yetu ya kata ina matundu ya choo manne tu ambayo yanatumika na watoto wa jinsia zote

Ntawapa update zaidi
 
Nina mashaka na data za habari hii. Uchumi wa dunia una thamani ya trilioni 73 za kimarekani?????? Wakati budget ya wizara ya ulinzi marekani yaweza kufika hata trilioni 5 za kimarekani.
 
Naona harufu ya vita vya dunia very soon. Kutakuwa na scramble ya mataifa makubwa kama Chna, Rasia, usa, uk . Lazima wadundane hawa jamaa kama hii kitu ni kweli ipo
 
Naona harufu ya vita vya dunia very soon. Kutakuwa na scramble ya mataifa makubwa kama Chna, Rasia, usa, uk . Lazima wadundane hawa jamaa kama hii kitu ni kweli ipo
Mwenyewe nimewaza hilihili.InshaAllah tuombe uzima tujionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…