Wanasayansi wagundua jiwe lenye ‘utajiri wa kutisha’ angani

Wanasayansi wagundua jiwe lenye ‘utajiri wa kutisha’ angani

Sasa dunia tukishalipata hilo jiwe tutaenda kumuuzia nani?!
 
Eti jiwe lenye urefu wa 200km liletwe duniani. Hao wanasayansi ni waongo kama ccm tu.
 
mungu atabak kuwa fund mkuu. mana wanaojiita wanasayans wanagundua alivyoviumba mungu
 
Hapo ndio utajua kuwa mda wa kutafakari kwa mzungu na mwafrika unatofautiana. Mzungu anawaza kwa dk 1 mwafrika anawaza kwa siku nzima.
 
Back
Top Bottom